Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Upo sahihi. Hata hii range ya mishahara ni moja katika majeshi yote yaliyo chini ya wizara ya mambo ya ndani.
 
Usitumie nguvu nyingi kumuelewesha na hataki kuelewa Mkuu.
 
mkuu hzi kota za magereza ukonga kajenga nani kama sio jpm??
mm sipendi kubuni ,magereza ndio jeshi lililo sahaulika wizara ya mambo ya ndani nina fact nina evidence ukipinga moja naweka nyingine. sijawahi kubuni info zangu.
Inamaana ukonga hakukuwa na nyumba kabla magufuli hajajenga zile nyumba? Sikia nimesoma Iringa na Gereza la Iringa lipo mjini kabisa pale wakaazi wa Iringa wanajua hili kuna Nyumba ya Ghorofa 3 au 4 kama sikosei limejengwa kabla hata JPM hajawa Rais tuseme nalo alijenga JPM zile nyumba ni za kuweka familia 200 tu na mkoa wa Dar tu kwq kipindi kile kulikuwa na Askari zaidi ya 350 inamaana walikuwa wanakaa wapi


Ukija ukisema Magereza Halipwi Posho Ya vinywaji 100k halipwi Posho ile ya kila mwezi 350K na halipwi Posho ya makazi kwq wale ambao hawakai kambini maana si magereza yote yana nyumba zinazotosha na hili ni tatizo la majeshi yote yeye anasalary tu Hoja zako zitakuwa na mashiko na nitakubaliana nawewe zaidi sahv Magereza Pia wanalipwa kwa level ya Elimu kama Polisi ukibisha njoo DM nakupa namba ya Jamaa angu Ni Accountant Degree holder Mhasibu mkoa wa Kagera kwasasa ukija na sababu za et madili mzee kazi utaiona chungu na hutatoboa kabisa!!


Na kama ulikuwa hujui nakujuza sasa Uhamiaji Tanzania ndio jeshi ambalo wameanza kulipwa stahili zao zote kama majeshi yote ya wizara ya mambo ya ndani hivi karibuni tu hawana hata miaka mi2 mzee!!


Ukinielewa hapa utaacha Argumensts zisizo na logics na mwisho kabisa nakuombea sana upate ajira awamu hii hasa kule moyo wako unakopenda UT!! Kama nisingeingia kwenye mfumo wa ajira (Niko sekta ya afya sasa) ningetamani sana niwe PT!!!!


Case closed!!!
 
Waambie hao bro zako waache kukudanganya....uyo aliejenga ukuta wa Mirerani na amemaliza course juzi ( unamaanisha waliomaliza tarehe 26 Nov 2022), hiyo nyota moja kapata wapi mkuu?? Au kavalishwa peke yake nyumbani?
Hapa ndo wamehitimu nyota moja November

Bwana mdogo haya majeshi UT, ZT, MT, na kaunda suti kwa mbali nayajua mno naelewa na taratibu zake nmekulia maisha hayo ndugu zangu karbia wote wako huko penda kuuliza ujifunze usje ukaingia ukajutia ukakuta kwa ground mambo n tofauti na unavoelewa ww ukaanzq Lia lia
 
mkuu hzi kota za magereza ukonga kajenga nani kama sio jpm??
mm sipendi kubuni ,magereza ndio jeshi lililo sahaulika wizara ya mambo ya ndani nina fact nina evidence ukipinga moja naweka nyingine. sijawahi kubuni info zangu.
Nakukubali kaka kwa kucheza na fact uko vzr
 
Naelewa kuvalishwa bado but watavalishwa tu as longer as wamemaliza
 
Mambo yatabadilika taratibu mkuu miaka mi5 nyuma tu hayakuwa haya leo wako huku Posho ya mwezi tu ilikuwa 120k wakati JW wao wana 350K kitambo sana wamekuja kubadili Magu anaingia Awamu ya kwanza Urais
 
Ok, bas usiseme ana nyota moja! NYOTA HANA MPAKA PALE ATAKAPOVALISHWA.
Sawa sio tatzo hana nyota, but yupo mwenye nyota tatu still naonaga hzi nyota zake tatu angekuwa PT huenda angekuwa anapata pesa nzuri ya mboga nje na salary still haiondoi uhalisia UT hakuna ishu sana PT n better Kuna vitengo vingi vya kukupa pesa ya mboga kuliko UT
 
Duuh aloo aise kwahyo uhamiaji kumbe kukavu hivyo nilishawahi kitambo kupita pale tanga nasaco karibu na ukuta wa kiwanda cha mbolea wana kota za ghorofa chini yamejaa magari yao kama yote



Ila nyie watu wa majeshi sema hamuaminiki mnaweza sema mshahara na maslahi hamna kumbe mnapiga chini chini ela zipo za kutosha

Hawa polisi si walikuwa nao wanalalamikia maslahi .. halafu unakuta maisha safi


Ndio mtubiambie ukweli hela zipo au hazipo huko wizarani [emoji3]
 
Hela ipo mkuu ila hadi uishi na watu vizuri wakuoneshe pakuzipata na ukabali kuchukua zile zisizo rasmi lasivyo utaishia kukopa kopa kwenye uhamiaji saccoss [emoji1787]
 
Jamani msaada hata tulio pitia jkt mujibu wa sheria tunaruhusiwa kuomba maana kitaa kunatisha msaada nielewe wakuu
 
Kwahiyo mkuu unatushauri twende PT sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli. Na wasomi wengi wanaingia saiv. Yatabadilika tu
Mambo yatabadilika taratibu mkuu miaka mi5 nyuma tu hayakuwa haya leo wako huku Posho ya mwezi tu ilikuwa 120k wakati JW wao wana 350K kitambo sana wamekuja kubadili Magu anaingia Awamu ya kwanza Urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…