Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Tiss hawana posho heavy ispokuwa wanatofautiana kulingana na kitengo walichopo mfano vipenyo wa tissi waliopo TPA hasa kigoma port wanatabia ya kujitambulisha kwa makusudi kwa lengo na mkakati kabambe wa kupata mgao kwenye magendo yote ya port .....kesho nitawataja watano na picha zao na namba zao za simu na aina ya magendo yao

°•●Jamaa wa ikulu ole wako na hizi nafasi nikose
 
Nafasi zao zinachelewa na mm nataka chapchap nitoke hapa TPA
Vigezo si kuwa ukitaka nafasi ya polisi unatakiwa usiwe umeajiriwa serikalini sasa kwako wewe itakuaje na hapo TPA?
..Afu hii TPA si ndo watu WA bandarini sio....? so nasikia wanapiga pesa Sana km watu WA TRA au TPA ipi unayomaanisha

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
TPA hakuna hela kihivyo...na ukitokea ukawa mpigaji basi maisha yako ya uraiani ni mafupi saana

Sio kila kitengo kina hela TPA sasa mimi electrical engineer napatia wap hela mbali na mshahara

Mimi nataka kazi ambayo nahudumia wananchi direct na nataka nipambane na jambazi eliyetuibia t.v. yetu ya kichogo mwaka 79 baada ya vita ya kagera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…