Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Tiss hawana posho heavy ispokuwa wanatofautiana kulingana na kitengo walichopo mfano vipenyo wa tissi waliopo TPA hasa kigoma port wanatabia ya kujitambulisha kwa makusudi kwa lengo na mkakati kabambe wa kupata mgao kwenye magendo yote ya port .....kesho nitawataja watano na picha zao na namba zao za simu na aina ya magendo yaoso poa mkuu .ila kama una ndugu huko anaweza kukuingiza kirahisi coz nimiongoni mwa criteria yao wanakuwa tayari hawana dauti na ww kuhusu background yako. mm pia nimewahi kujaribu kuulizia moja ya mkuu wangu . na nasikia mshahara tiss sio mkubwa sana ila posho ni heavy mkuu wangu
°•●Jamaa wa ikulu ole wako na hizi nafasi nikose