Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Simu mkuu

TPA hakuna hela kihivyo...na ukitokea ukawa mpigaji basi maisha yako ya uraiani ni mafupi saana

Sio kila kitengo kina hela TPA sasa mimi electrical engineer napatia wap hela mbali na mshahara

Mimi nataka kazi ambayo nahudumia wananchi direct na nataka nipambane na jambazi eliyetuibia t.v. yetu ya kichogo mwaka 79 baada ya vita ya kagera
Hahahah ww jamaa bhana
 
Matapeli wengi sasa mbanga inatakiwa ajitolee mwenyewe kwa moyo wake mfano kuna sajent wa JW alikuwa kapanga home mwamba alipigiwa pande na meja jenaral from kitaa to RTS bila kupita JKT mwaka 2015 now ni sajent na elimu ni form four
Hii nilisema mim hapa wakanikaidi,nilisema w2 wanaenda TPDF bila kupita jkt,wakaniita majina yote ya uongo[emoji1787][emoji1787]
 
Karate CCP.
G.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinu za kimedani ndio zipi hzo mkuu
Mbinu za kimedani zipo nyingi saaana na zina ufanisi wa 100%

Tafuta mbanga mkubwa yoyote awe jeshini au mwanasiasa angalia anapofanyia ibada then wewe kaongee na wazee wa kanisa au msikiti wakuunganishe nae

Chunguza mbanga anapofanyia ibada then after ibada mtokee

Alafu kuna moja hii ni high technique method huwa naitumia mm na imenisaidia saa kuanzia form two mpaka diploma nikafaulu vizuri (hii sitoitaja coz bado naitumia kwa jamaa wangu wa ikulu)
Ufanisi wake
•ilifanya nipate nida kwa masaa mawili tu
•ilifanya nipate sehemu nzuri za kufanyia field
•ilifanya nipate GPA 4.7
•ilifanya nipate gape tpa
 
Haahaaa poapoa mkuu huyo jambazi atakuwepo kweli mtaani sahv? Au ndo umkamate km golden state killer aliyefanya ubakaji na mauaji mengi miaka ya 70 huko California marekani akaja kukamatwa mwaka 2018 tiyari kikongwe[emoji16]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nataka nimfunze adabu tu japo now day kaokoka eti ana kanisa kabisa lina waumini kama 16 hivi au 20
 
Hii nilisema mim hapa wakanikaidi,nilisema w2 wanaenda TPDF bila kupita jkt,wakaniita majina yote ya uongo[emoji1787][emoji1787]
Hizo zipo saana tena wanaoingia kwa style hiyo huwa wanakuwa na kadaraja Fran hv kozi
 
Back
Top Bottom