Keep that faith brother. He will grant u ur wishes.My father is the Most high God, the most sufficient God, the one who sees through my pains and struggles. Nitakuw pale kwa uweza wake kaka. 😂😂😂😂 jiandae kwa interview mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keep that faith brother. He will grant u ur wishes.My father is the Most high God, the most sufficient God, the one who sees through my pains and struggles. Nitakuw pale kwa uweza wake kaka. 😂😂😂😂 jiandae kwa interview mkuu.
Simu mkuu
Hahahah ww jamaa bhanaTPA hakuna hela kihivyo...na ukitokea ukawa mpigaji basi maisha yako ya uraiani ni mafupi saana
Sio kila kitengo kina hela TPA sasa mimi electrical engineer napatia wap hela mbali na mshahara
Mimi nataka kazi ambayo nahudumia wananchi direct na nataka nipambane na jambazi eliyetuibia t.v. yetu ya kichogo mwaka 79 baada ya vita ya kagera
Wengi wanapenda traffic sana 😅Watu wanataka TRA, na traffic ndio Kuna hela
Tuishi na watu vizurii sio.kupata koneksheni kwa kumvamia yeyote sio rahisi wakuu. kama unafaitia koneksheni anzia kwenye jamii yako kuna wazee wana koneksheni za kutosha
Afu kweli kiongozikupata koneksheni kwa kumvamia yeyote sio rahisi wakuu. kama unafaitia koneksheni anzia kwenye jamii yako kuna wazee wana koneksheni za kutosha
Ni mateso mkuu acha tuAisee bila connection kupata n ngumu aisee
daah acha tu mkuu. boma ni lazimaTukutane Boma mkuu. Nitakuw pale 😂
yaah utajikuta tu kwenye pdf umo mkuu
mzee akiinua tu simu kukupigania ,mbanga itakuambia nitumie details zako kijanaAfu kweli kiongozi
Hii nilisema mim hapa wakanikaidi,nilisema w2 wanaenda TPDF bila kupita jkt,wakaniita majina yote ya uongo[emoji1787][emoji1787]Matapeli wengi sasa mbanga inatakiwa ajitolee mwenyewe kwa moyo wake mfano kuna sajent wa JW alikuwa kapanga home mwamba alipigiwa pande na meja jenaral from kitaa to RTS bila kupita JKT mwaka 2015 now ni sajent na elimu ni form four
Hizi mbwembwe sizitaki, me nataka nibebe chuma tu.
Mbinu za kimedani zipo nyingi saaana na zina ufanisi wa 100%Mbinu za kimedani ndio zipi hzo mkuu
Nataka nimfunze adabu tu japo now day kaokoka eti ana kanisa kabisa lina waumini kama 16 hivi au 20Haahaaa poapoa mkuu huyo jambazi atakuwepo kweli mtaani sahv? Au ndo umkamate km golden state killer aliyefanya ubakaji na mauaji mengi miaka ya 70 huko California marekani akaja kukamatwa mwaka 2018 tiyari kikongwe[emoji16]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Watu wa pwani mna tabia za kufitini watu kuna meja mmoja huku kawafitinisha KANALI na LUTEN KANALI mpaka kanali akitaka kusafiri anamuachia madaraka huyo meja badala ya Luten kanalNipo pande za pwani mkuu
Hizo zipo saana tena wanaoingia kwa style hiyo huwa wanakuwa na kadaraja Fran hv koziHii nilisema mim hapa wakanikaidi,nilisema w2 wanaenda TPDF bila kupita jkt,wakaniita majina yote ya uongo[emoji1787][emoji1787]