Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Tiss combat zipo za kila jeshiMakamanda ivi TISS si hawana combat sasa wale walinzi pale Emiliano na magogoni wanaovaa combat nyeusi na madoadoa ni jeshi gani?
kupata koneksheni kwa kumvamia yeyote sio rahisi wakuu. kama unafaitia koneksheni anzia kwenye jamii yako kuna wazee wana koneksheni za kutosha
Hii ni sahihi nimeshuhudia dgo mmoja akiunganishwa connection na RSM mmoja wa hapa mtaanimzee akiinua tu simu kukupigania ,mbanga itakuambia nitumie details zako kijana
yaah mkuu wangu. tuendelee kupeana mbinu za kupitaHii ni sahihi nimeshuhudia dgo mmoja akiunganishwa connection na RSM mmoja wa hapa mtaani
Nimepata Story za vijiweni na kamba za kutosha [emoji23]kuhusu hao jamaa cjui zina ukweli au laah. Kwamba kile niMakamanda ivi TISS si hawana combat sasa wale walinzi pale Emiliano na magogoni wanaovaa combat nyeusi na madoadoa ni jeshi gani?
Nmekutana nalo moja iloo limejaaNimepata Story za vijiweni na kamba za kutosha [emoji23]kuhusu hao jamaa cjui zina ukweli au laah. Kwamba kile ni
1. Kikosi maalumu cha ulinzi WA Rais na gogoni...jamaa pia inasemekana Wana Kiswahili cha shida kitu kinachoraise maswali kwamba huenda jamaa sio watz/ NI watz walikwenda nje ya nchi kupokea mafunzo muda mrefu kiasi kwamba mpk Kiswahili kinawapiga chenga( hii kidg nilibisha kijiweni) ....tusubiri wenye ufahamu khs hao jamaa wajazie nyama
Mzee kumbe unapenda UT kuliko PTTukutane Boma mkuu. Nitakuw pale 😂
Hv hawa wa karate moja moja wanatupwa FFU??
Hahahahahaha amna mkuu pwani ni mishe mishe tu mkuu ila sio mtu wa pwaniWatu wa pwani mna tabia za kufitini watu kuna meja mmoja huku kawafitinisha KANALI na LUTEN KANALI mpaka kanali akitaka kusafiri anamuachia madaraka huyo meja badala ya Luten kanal
Polisi kwa kwata wako vizuri sana. Muda wako mwingi CCP utautumia huko.Kwenye matamasha ya kitaifa tuacheni utani parade la polisi huwa ni zuri na wanalipiga vyema ila Magereza kwenye guzi machi hata JW huwa hawawawezi
Vizuri kama ni hivyoHahahahahaha amna mkuu pwani ni mishe mishe tu mkuu ila sio mtu wa pwani
Ila hawa wazee wanaostaafu asee sjui ndio saikorojia inapotea au vp yaan wanakuwaga na akili mbovu hasa hawa wa jw aseeVizuri kama ni hivyo
ni kweli mkuu kwenye pared hao polis na jkt wapo vizuri na magereza wananyanyua miguu usawa wa kitovu ni hatari dadeq,JW ni watu wa mseleleko nimejifunza hicho kitu hawapendi kuteseka [emoji23] ndo mana wanapenda kusema sifa kitengo jeshiniKwenye matamasha ya kitaifa tuacheni utani parade la polisi huwa ni zuri na wanalipiga vyema ila Magereza kwenye guzi machi hata JW huwa hawawawezi
Tiss combat zipo za kila jeshi
Tiss kuna makomando
Tiss kuna walimu
Tiss kuna mafundi
Tiss kuna wakora
Tiss kuna wachawi
Tiss kuna kila kitu
Tiss kuna jamaa anataka kunipora demu wangu (akiendelea nitamuanika kila kitu full kuanzia ukoo wao wote mpaka elimu yake ya form four ya division four ya 30)
Hv hawa wa karate moja moja wanatupwa FFU??
Jeshi jipya kupanda chap. Ila PT dadek utasubiri sana 😂. PT kwa upande wangu ni rahisi kuingia sina tabu nako huko. Issue ni UT hapa. Nikikosa UT nitajipeleka tu PT kama mishe za kitaa zitakuw hazijatiki.Mzee kumbe unapenda UT kuliko PT
Sawa zipo kila combat zile combat wanazovaa ni za watu gani ndo nataka nijue zile nyeusi zenye mchele mcheleTiss combat zipo za kila jeshi
Tiss kuna makomando
Tiss kuna walimu
Tiss kuna mafundi
Tiss kuna wakora
Tiss kuna wachawi
Tiss kuna kila kitu
Tiss kuna jamaa anataka kunipora demu wangu (akiendelea nitamuanika kila kitu full kuanzia ukoo wao wote mpaka elimu yake ya form four ya division four ya 30)
Sasa si unawaona wanaovaa mkuu afu unauliza za kina nani? Za kwao hao wanaomlinda Raisi.Sawa zipo kila combat zile combat wanazovaa ni za watu gani ndo nataka nijue zile nyeusi zenye mchele mchele
PSU?Sasa si unawaona wanaovaa mkuu afu unauliza za kina nani? Za kwao hao wanaomlinda Raisi.