Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Makamanda ivi TISS si hawana combat sasa wale walinzi pale Emiliano na magogoni wanaovaa combat nyeusi na madoadoa ni jeshi gani?
Tiss combat zipo za kila jeshi
Tiss kuna makomando
Tiss kuna walimu
Tiss kuna mafundi
Tiss kuna wakora
Tiss kuna wachawi
Tiss kuna kila kitu
Tiss kuna jamaa anataka kunipora demu wangu (akiendelea nitamuanika kila kitu full kuanzia ukoo wao wote mpaka elimu yake ya form four ya division four ya 30)
 
kupata koneksheni kwa kumvamia yeyote sio rahisi wakuu. kama unafaitia koneksheni anzia kwenye jamii yako kuna wazee wana koneksheni za kutosha
mzee akiinua tu simu kukupigania ,mbanga itakuambia nitumie details zako kijana
Hii ni sahihi nimeshuhudia dgo mmoja akiunganishwa connection na RSM mmoja wa hapa mtaani
 
Makamanda ivi TISS si hawana combat sasa wale walinzi pale Emiliano na magogoni wanaovaa combat nyeusi na madoadoa ni jeshi gani?
Nimepata Story za vijiweni na kamba za kutosha [emoji23]kuhusu hao jamaa cjui zina ukweli au laah. Kwamba kile ni
1. Kikosi maalumu cha ulinzi WA Rais na gogoni...jamaa pia inasemekana Wana Kiswahili cha shida kitu kinachoraise maswali kwamba huenda jamaa sio watz/ NI watz walikwenda nje ya nchi kupokea mafunzo muda mrefu kiasi kwamba mpk Kiswahili kinawapiga chenga( hii kidg nilibisha kijiweni) ....tusubiri wenye ufahamu khs hao jamaa wajazie nyama
 
Nmekutana nalo moja iloo limejaa
Ila nadhani sio ukweli pale Emiliano wapo serengeti wadogo sana wanavaa zile na wanaongea vizuri
 
Watu wa pwani mna tabia za kufitini watu kuna meja mmoja huku kawafitinisha KANALI na LUTEN KANALI mpaka kanali akitaka kusafiri anamuachia madaraka huyo meja badala ya Luten kanal
Hahahahahaha amna mkuu pwani ni mishe mishe tu mkuu ila sio mtu wa pwani
 
Kwenye matamasha ya kitaifa tuacheni utani parade la polisi huwa ni zuri na wanalipiga vyema ila Magereza kwenye guzi machi hata JW huwa hawawawezi
ni kweli mkuu kwenye pared hao polis na jkt wapo vizuri na magereza wananyanyua miguu usawa wa kitovu ni hatari dadeq,JW ni watu wa mseleleko nimejifunza hicho kitu hawapendi kuteseka [emoji23] ndo mana wanapenda kusema sifa kitengo jeshini
 
Tiss combat zipo za kila jeshi
Tiss kuna makomando
Tiss kuna walimu
Tiss kuna mafundi
Tiss kuna wakora
Tiss kuna wachawi
Tiss kuna kila kitu
Tiss kuna jamaa anataka kunipora demu wangu (akiendelea nitamuanika kila kitu full kuanzia ukoo wao wote mpaka elimu yake ya form four ya division four ya 30)

Mzee wa ikulu inaonekana uko na madini mingi mnoo.

Share with us mkuu tupate kufungua hizi fuvu zimeganda[emoji16][emoji16]

Me nataka nijilipue kwa mzee wa tozo hakuna namna tena, liwalo na liwe.
 
Tiss combat zipo za kila jeshi
Tiss kuna makomando
Tiss kuna walimu
Tiss kuna mafundi
Tiss kuna wakora
Tiss kuna wachawi
Tiss kuna kila kitu
Tiss kuna jamaa anataka kunipora demu wangu (akiendelea nitamuanika kila kitu full kuanzia ukoo wao wote mpaka elimu yake ya form four ya division four ya 30)
Sawa zipo kila combat zile combat wanazovaa ni za watu gani ndo nataka nijue zile nyeusi zenye mchele mchele
 
Back
Top Bottom