Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mafunzo ya miezi 9 kila siku unaamka saa 6 kasoro za usiku unasema mserereko?una shida wewe yani huko magereza wenye utimamu kidogo ni hao Kmkm ila wengine ni wala chipsi watoto laini.
Uraiani ndio wanadhanigi hvyo kwamba JW wana mafunzo magumu kuliko PT
 
Mafunzo ya miezi 9 kila siku unaamka saa 6 kasoro za usiku unasema mserereko?una shida wewe yani huko magereza wenye utimamu kidogo ni hao Kmkm ila wengine ni wala chipsi watoto laini.
chai hii, mzee unaujua mtiti wa magereza??
 
Kaka zama PT utakuja kunikumbuka
Ndugu wengi huku nataka niwe sehemu nyingine ila nikikosa UT na kitaa kikiwa hakieleweki PT nitajipeleka asee. Lakini naangalia JW pia uwezekano wa kwenda upo issue ni connection ya huko ndio naitafuta kwa sana saiv. JW ukiwa na Proffesion maslahi mazuri sana. Hizi za wizara ya mambo ya ndani bado ila zitakaa sawa tu. Kuna kizaz cha zamani kikipita basi wa kizaz kipya wataweka sawa tu .
 
kila la kheri mkuu,tutakua wote immigration
 
huu mjadala tuliufunga wakuu mlishindwa kuweka evidence. ni afadhali tufocus na lonja mpya
Walikuwekea evidence mbna, kuna jamaa nakumbuka alikutolea mfano kuhusu kaka ake. Uhamiaji ili upige hela lazma kwanza ufanyie kazi mpakani, na uwe una cheo. Usizan wale wasio na vyeo wanapga hela. Hapana. Na ukiendekeza magendo lazma utadakwa. Ko ni ukwel polisi yupo juu kimaslahi kuliko Askari wa uhamiaji. Na sababu kubwa polisi anawahudumia moja kwa moja raia, uhamiaji, ye ana deal na mipaka tu. Usimfananishe polisi na uhamiaji hata siku moja. Yan hata Kama ni deal haramu Basi za polisi ni kubwa na nying maana ye ndo anshughulika na uhalifu. Polisi traffic, au mpiga doria au wa central pale anaingiz hela karbia kila sku. Maana ukiingia mule sentro kutoka lazma utoe hela. Yan polis kwa hela tofaut na mshahara mlinganishe labda na madaktar au manesi sio uhamiaji!
 
we kweli mandazi uhamiaji anadili na mipaka tu??
 
Mimi nina mipango yangu na UT ndio maana napataka huko. Huo ufree ambao hata kwenda weekend hakuna ndio nautaka pia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Naelewa kabisa PT mtu unaweza piga deal nyingi sana na kama sio mweledi utavuta pesa ndefu tu kwa kutumia vazi/ crown yako maana PT anaingia kila sehemu tofauti na UT officer. Dogo langu kapangwa hapo bandarini PT katoka juzi tu hapo CCP najua atapiga pesa tu hapo kama asipokuw mweledi atazikusanya sana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…