Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Majukumu ya wale wanaopangwa bandarini yanakua kupiga guard tu ama?Mimi nina mipango yangu na UT ndio maana napataka huko. Huo ufree ambao hata kwenda weekend hakuna ndio nautaka pia 😂😂😂. Naelewa kabisa PT mtu unaweza piga deal nyingi sana na kama sio mweledi utavuta pesa ndefu tu kwa kutumia vazi/ crown yako maana PT anaingia kila sehemu tofauti na UT officer. Dogo langu kapangwa hapo bandarini PT katoka juzi tu hapo CCP najua atapiga pesa tu hapo kama asipokuw mweledi atazikusanya sana tu.