Walikuwekea evidence mbna, kuna jamaa nakumbuka alikutolea mfano kuhusu kaka ake. Uhamiaji ili upige hela lazma kwanza ufanyie kazi mpakani, na uwe una cheo. Usizan wale wasio na vyeo wanapga hela. Hapana. Na ukiendekeza magendo lazma utadakwa. Ko ni ukwel polisi yupo juu kimaslahi kuliko Askari wa uhamiaji. Na sababu kubwa polisi anawahudumia moja kwa moja raia, uhamiaji, ye ana deal na mipaka tu. Usimfananishe polisi na uhamiaji hata siku moja. Yan hata Kama ni deal haramu Basi za polisi ni kubwa na nying maana ye ndo anshughulika na uhalifu. Polisi traffic, au mpiga doria au wa central pale anaingiz hela karbia kila sku. Maana ukiingia mule sentro kutoka lazma utoe hela. Yan polis kwa hela tofaut na mshahara mlinganishe labda na madaktar au manesi sio uhamiaji!