Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uraiani ndio wanadhanigi hvyo kwamba JW wana mafunzo magumu kuliko PTMafunzo ya miezi 9 kila siku unaamka saa 6 kasoro za usiku unasema mserereko?una shida wewe yani huko magereza wenye utimamu kidogo ni hao Kmkm ila wengine ni wala chipsi watoto laini.
Kutuma nini kiongozWakuu nilikuwa sijui hii ishu, naweza kutuma leo???
Maombi polisiKutuma nini kiongoz
Jana ndo ilikua deadline Yao kutuma maombi , Leo kubeti waweza kujaribu pia ila usijipe imani sana ,maana uko nje ya mudaMaombi polisi
huu mjadala tuliufunga wakuu mlishindwa kuweka evidence. ni afadhali tufocus na lonja mpyaNimemwambia jamaa aende PT atakuja kunishukuru 5 years to come
chai hii, mzee unaujua mtiti wa magereza??Mafunzo ya miezi 9 kila siku unaamka saa 6 kasoro za usiku unasema mserereko?una shida wewe yani huko magereza wenye utimamu kidogo ni hao Kmkm ila wengine ni wala chipsi watoto laini.
Ndugu wengi huku nataka niwe sehemu nyingine ila nikikosa UT na kitaa kikiwa hakieleweki PT nitajipeleka asee. Lakini naangalia JW pia uwezekano wa kwenda upo issue ni connection ya huko ndio naitafuta kwa sana saiv. JW ukiwa na Proffesion maslahi mazuri sana. Hizi za wizara ya mambo ya ndani bado ila zitakaa sawa tu. Kuna kizaz cha zamani kikipita basi wa kizaz kipya wataweka sawa tu .Kaka zama PT utakuja kunikumbuka
kila la kheri mkuu,tutakua wote immigrationNdugu wengi huku nataka niwe sehemu nyingine ila nikikosa UT na kitaa kikiwa hakieleweki PT nitajipeleka asee. Lakini naangalia JW pia uwezekano wa kwenda upo issue ni connection ya huko ndio naitafuta kwa sana saiv. JW ukiwa na Proffesion maslahi mazuri sana. Hizi za wizara ya mambo ya ndani bado ila zitakaa sawa tu. Kuna kizaz cha zamani kikipita basi wa kizaz kipya wataweka sawa tu .
Kwa Proffesion yangu kwa PT hawakai lindo mkuu.Ungezama mwaka jana ..sasa hv ungekua unajiandaa kuingia lindo
Au ungewekwa traffic ww unaonekana una maelekezo muhimu
Inshallah tunaomba hivyo.kila la kheri mkuu,tutakua wote immigration
Kiwira sio parahisi aseechai hii, mzee unaujua mtiti wa magereza??
Walikuwekea evidence mbna, kuna jamaa nakumbuka alikutolea mfano kuhusu kaka ake. Uhamiaji ili upige hela lazma kwanza ufanyie kazi mpakani, na uwe una cheo. Usizan wale wasio na vyeo wanapga hela. Hapana. Na ukiendekeza magendo lazma utadakwa. Ko ni ukwel polisi yupo juu kimaslahi kuliko Askari wa uhamiaji. Na sababu kubwa polisi anawahudumia moja kwa moja raia, uhamiaji, ye ana deal na mipaka tu. Usimfananishe polisi na uhamiaji hata siku moja. Yan hata Kama ni deal haramu Basi za polisi ni kubwa na nying maana ye ndo anshughulika na uhalifu. Polisi traffic, au mpiga doria au wa central pale anaingiz hela karbia kila sku. Maana ukiingia mule sentro kutoka lazma utoe hela. Yan polis kwa hela tofaut na mshahara mlinganishe labda na madaktar au manesi sio uhamiaji!huu mjadala tuliufunga wakuu mlishindwa kuweka evidence. ni afadhali tufocus na lonja mpya
we kweli mandazi uhamiaji anadili na mipaka tu??Walikuwekea evidence mbna, kuna jamaa nakumbuka alikutolea mfano kuhusu kaka ake. Uhamiaji ili upige hela lazma kwanza ufanyie kazi mpakani, na uwe una cheo. Usizan wale wasio na vyeo wanapga hela. Hapana. Na ukiendekeza magendo lazma utadakwa. Ko ni ukwel polisi yupo juu kimaslahi kuliko Askari wa uhamiaji. Na sababu kubwa polisi anawahudumia moja kwa moja raia, uhamiaji, ye ana deal na mipaka tu. Usimfananishe polisi na uhamiaji hata siku moja. Yan hata Kama ni deal haramu Basi za polisi ni kubwa na nying maana ye ndo anshughulika na uhalifu. Polisi traffic, au mpiga doria au wa central pale anaingiz hela karbia kila sku. Maana ukiingia mule sentro kutoka lazma utoe hela. Yan polis kwa hela tofaut na mshahara mlinganishe labda na madaktar au manesi sio uhamiaji
ninoma mkuu wangu,sema watu wanaibuka na hoja za vijiweniKiwira sio parahisi asee
we kweli mandazi uhamiaji anadili na mipaka tu??
[/QU
Kiazi wewe ko ana deal na nn tofaut na mipaka?
Mimi nina mipango yangu na UT ndio maana napataka huko. Huo ufree ambao hata kwenda weekend hakuna ndio nautaka pia 😂😂😂. Naelewa kabisa PT mtu unaweza piga deal nyingi sana na kama sio mweledi utavuta pesa ndefu tu kwa kutumia vazi/ crown yako maana PT anaingia kila sehemu tofauti na UT officer. Dogo langu kapangwa hapo bandarini PT katoka juzi tu hapo CCP najua atapiga pesa tu hapo kama asipokuw mweledi atazikusanya sana tu.UT ukienda huko hutokuwa tofauti na raia;jamaa katika vituo vya wilayani daily wanavaa kiraia halafu wikend hawaendi kazini eti wanajiita jeshi.[emoji23]
Ukipata PT ujiko mzee mi ningekua huko ningependa wanipange kitengo cha V.I.P protection wale maafande wa FFU wanavyobebaga silaha na ile mikimbio yao msafara ukianza,mi huwa wanikosha sana.
Aidha, juu nmeona jamaa anasema PT ni njaa kuliko UT,ukweli ni kwamba PT wapo vizuri maana wana hela halali za nje na mshahara(escort,malindo..) uhamiaji hamna kitu labda wale rushwa ambapo hata PT akiamua kula rushwa bado atakuwa yupo juu.Vazi la polisi lina thamani sana na ndio maana PGO imekataza kudhurura na unifomu kama haupo kazini maana unaweza litumia vibaya kujipatia kipato.
Magereza wanapiga kozi makini sana hilo halina ubishichai hii, mzee unaujua mtiti wa magereza??