Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Majukumu ya wale wanaopangwa bandarini yanakua kupiga guard tu ama?
 
we mbuzi ngoja nikutajie
workpermits,bandarini,airports, godown, citizenship permit,entry and exit points, national and international organized crimes, UN agency i.e IOM agency ,investment permits Nk
Pumbafu ni manini ayo umeandika, ko unafikir we mfwende utapewa kitengo kip kati ya ivyo. Nonsense. Kwanza kazi yenyewe hutopata! Umepoteza bure pesa zako za posta
 
Pumbafu ni manini ayo umeandika, ko unafikir we mfwende utapewa kitengo kip kati ya ivyo. Nonsense. Kwanza kazi yenyewe hutopata! Umepoteza bure pesa zako za posta
Dah kaka umekua Mungu wa kumpangia mtu kupata au kutopata πŸ˜‚πŸ˜‚.? Mungu akimfungulia mlango atapata..asipomfungulia atakosa. Yote maisha tu riziki ipo kokote
 
Walioingia zaman walifaidi sana asee. Mabega yakichafuka raha sana. Pia Zimamoto pia kuna urahisi. Watu mliogopa kuomba kule proffesionals kutokana na wao kutaka form 4 tu ila nakuambia kwenye interview wataita na proffesionals. Nakuibia lonja.

I
pia kigezo cha kumaliza formfour 2021 na umri pia ulizuia watu kuomba mkuu
 
Wakipokea maombi yako kwa kuchelewa huku basi utakuw na bahati kubwa sana ndugu maana maombi ya online ni kama tayari yameshakuwa processed. Yani yalivyokuwa yanatumwa ndivyo ambavyo wana walikuw wanayapreview na kuyapanga. Ila usikate tamaa. Try your lucky.
Halafu ukituma ile email, unatakiwa uandike Message au ni kutuma attachments basi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…