Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Duh mkuu umejuaje, au upo ndani kabisa kwenye system
 
Kuna maclassmate maIT walipangwa huko HQ Dodoma wanayapokea hayo maombi ndio kazi yao hiyo walikuw wanakesha nayo.
Hahaha kuna muhuni mmoja hivi IT kapangwa huko umenikumbusha asee ila yule kavuna course dadek tangu anafika kapata tengo ofisini yani course kaipiga porini tu maana kule huwez pakwepa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha kuna muhuni mmoja hivi IT kapangwa huko umenikumbusha asee ila yule kavuna course dadek tangu anafika kapata tengo ofisini yani course kaipiga porini tu maana kule huwez pakwepa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwamba alikuw ananisimulia yan hadi angani walikuw hawamfahamu maana alikuw hashindi kabisa huko siku akarudi angan akakuta godoro..begi lake halipo. Anauliza wana limeenda wapi, wakaanza kumshangaa tu maana walikuw hawamjui. Ndio akahamisha kabisa makazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna watu wanaangushiaga sana kozi asee πŸ˜‚
 
Yah..huku mimi sikuomba saiv nategesha tu connections tu mzee. Hata majina ya kwenda kureport yakitoka kama unaconnection unaweza enda report tu .CCp wtu huwa wanareport hata baada ya miezi miwli course kuanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ila Mama Kaganda anaweza akakaza si unamjua yule kanyooka ...watu wanaweza wasiingie ovyo CCp
kila la kheri mkuu. uzuri zimamoto ni watoto wa mjini na hawna majukumu mengi
 
Vitengo mzee. Nina wana kibao intake iliyopita yan walipofika kule ni tengo mwanzo mwisho πŸ˜‚πŸ˜‚ porini ndio waliipata maana mkuu wa mafunzo ya pori hataki kusikia kitu kinaitwa kitengo. Yeye anakwambia anatoa askari. Kitengo pembeni.
Yule Mwamba ni kamanda asee. Yani mnaweza mchukia ila jamaa anatoa askari. Anaweza akawapa kazi kisa mmeoga vizur na kupendeza au umepaka pafyumu πŸ˜‚. Anakuambia askari upo porini unanukia pafyumu, hapana. Mnaanza maovyo ovyo...au usiombe mpo pori afu Yanga ikafungwa mtakula kazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ ila at the end mnazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…