Ushachelewa hivi unawajua polisi unawasikia jamaa wapo serious Sana hao,usijisumbueHalafu ukituma ile email, unatakiwa uandike Message au ni kutuma attachments basi??
Muache ajaribu kutupa karata yake kaka monster 😂..usimkatishe tamaaUshachelewa hivi unawajua polisi unawasikia jamaa wapo serious Sana hao,usijisumbue
Mmhhh baba polis nawajua Vizuri SanaMuache ajaribu kutupa karata yake kaka monster 😂..usimkatishe tamaa
Tuishi kwa Imani tu kaka ..Mmhhh baba polis nawajua Vizuri Sana
Umesema kweliHAPANA hii hatusupport kwenye uzi wetu mabishano yawepo Lakin icho ulichoandika hatutaki apa wote tunaombeana tupate sio kukosa bro.
Mabishano yawepo kwa nia ya kuibua na kijibu hoja na pia kupitia mabishano ata sisi tusiojua chochote tutapata kitu.
Kuna ujumbe wako in-box kiongoziKuna kutunguliwa kama Hamza alivyotungua watu pia 😂😂😂😂dadek nakumbuka ile siku nilikuw namsindikiza mshkaj posta kupeleka maombi tupo kwenye folen ya Morocco posta...risas zinasikika dah...mwamba kidogo ahairishe kupeleka maombi...ila saiv anakula maisha ofisini tu
Sijauona kakaKuna ujumbe wako in-box kiongozi
Ingia tena utaukutaSijauona kaka
Mbona hawajasema kuambatanisha na medical formHabarini wakuu
Samahan kwa upande wa dodoma fomu ya daktari inapatikana stationari gan apa barabara ya 8 naona nmezunguka karibu niikose [emoji856][emoji40]
Jamaa wa ikulu nimezunguka nae sehemu mbalimbali saana katika kuniaminisha kuwa yeye ni mtu mzito (ni mpenda sifa) so nilifaidi saana al in all askari wa misitu wana hela saana aiseMzee wa ikulu inaonekana uko na madini mingi mnoo.
Share with us mkuu tupate kufungua hizi fuvu zimeganda[emoji16][emoji16]
Me nataka nijilipue kwa mzee wa tozo hakuna namna tena, liwalo na liwe.
TPA now kipaumbele ni watu wa vetaOi nifanyie mpango tpa hata kubeba mizigo msster
Sawa mkuu...lakini kwenye attachments niliambatanisha na kadi ya ccm sasa sijui kama itasaidiaUshachelewa hivi unawajua polisi unawasikia jamaa wapo serious Sana hao,usijisumbue
Kwa macho yangu bila kuhadithiwa niliona payslip ya askari wa FTS ambaye ana certificate tu anakunja basic ya 700k.Jamaa wa ikulu nimezunguka nae sehemu mbalimbali saana katika kuniaminisha kuwa yeye ni mtu mzito (ni mpenda sifa) so nilifaidi saana al in all askari wa misitu wana hela saana aise
Kozi rahisi za kuingilia jeshini kwa makapuku (kama wewe) niVipi kwa wale wanaofanya mitihani ya kujitegemea {Private Candidates} PC, kama umri, afya na vigezo vingine vinakidhi, je anaweza kuruhusiwa kujiunga na jeshi kama ANALIPENDA SANA JESHI LA WANANCHI au wanataka watoto waliosoma tuu shuleni {school candidates} ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa mkuu...lakini kwenye attachments niliambatanisha na kadi ya ccm sasa sijui kama itasaidia
Heshima kwako kiongozi. Ccm aiseeSawa mkuu...lakini kwenye attachments niliambatanisha na kadi ya ccm sasa sijui kama itasaidia
Sawa mkuu...lakini kwenye attachments niliambatanisha na kadi ya ccm sasa sijui kama itasaidia
biomedical second yr
biomedical second yr apa mkuu nataka kuquit niende polisi nimepata kaconnection kidgo lkn napenda jw ushauri wako apo mkuu nisubir nimalize au vipi,