Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kuna baadhi ya kada huwa wana comand system zao baada ya muda wa deadline tu system inakua unaccessible haiwezi pokea wala kutoa taarifa ,cjajua kwa Tanpol kama wamefanya hivyo
 
HAPANA hii hatusupport kwenye uzi wetu mabishano yawepo Lakin icho ulichoandika hatutaki apa wote tunaombeana tupate sio kukosa bro.

Mabishano yawepo kwa nia ya kuibua na kijibu hoja na pia kupitia mabishano ata sisi tusiojua chochote tutapata kitu.
Umesema kweli
 
Kuna kutunguliwa kama Hamza alivyotungua watu pia 😂😂😂😂dadek nakumbuka ile siku nilikuw namsindikiza mshkaj posta kupeleka maombi tupo kwenye folen ya Morocco posta...risas zinasikika dah...mwamba kidogo ahairishe kupeleka maombi...ila saiv anakula maisha ofisini tu
Kuna ujumbe wako in-box kiongozi
 
Mzee wa ikulu inaonekana uko na madini mingi mnoo.

Share with us mkuu tupate kufungua hizi fuvu zimeganda[emoji16][emoji16]

Me nataka nijilipue kwa mzee wa tozo hakuna namna tena, liwalo na liwe.
Jamaa wa ikulu nimezunguka nae sehemu mbalimbali saana katika kuniaminisha kuwa yeye ni mtu mzito (ni mpenda sifa) so nilifaidi saana al in all askari wa misitu wana hela saana aise
 
Vipi kwa wale wanaofanya mitihani ya kujitegemea {Private Candidates} PC, kama umri, afya na vigezo vingine vinakidhi, je anaweza kuruhusiwa kujiunga na jeshi kama ANALIPENDA SANA JESHI LA WANANCHI au wanataka watoto waliosoma tuu shuleni {school candidates} ?
Kozi rahisi za kuingilia jeshini kwa makapuku (kama wewe) ni
•MD
•Civil engineering
•Eletrical engineering
•mechanical engineering
•electronic engineering
•Biomedical engineering
Haijalishi ulisomea wap iwe QT au memkwa
 
Polisi umepeleka kama form 6 si ndio? Ngoja niwe serious na kutafuta connection ya JW...wana bado hawajaanza course bado sijui zilinipita wap zile nafasi asee
biomedical second yr

biomedical second yr apa mkuu nataka kuquit niende polisi nimepata kaconnection kidgo lkn napenda jw ushauri wako apo mkuu nisubir nimalize au vipi,
 
Back
Top Bottom