Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kwenye haya majeshi ndugu kama unataka kula hizo pesa za madili wanasema jitahidi usile mwenyewe. Yani sio unapiga deal la penda ndefu afu mkubwa wako hajui. Ukibambwa inakula kwako. Ila ukila na wakubwa zako, kuna kausalama flan kwako hivi. Najua mtakuw mmeshanielewa.
Unakula na kipofu mkuu, mambo inakuwa bulbul
 
Misitu ina hela kama utapata tfs ila ukipata halmashauri ndugu yangu hapo umepoteza miaka yako mitatu sua kizembe tu utaishia kusoma magazeti ofsini

Achana na diploma wale degree wanaoanza na forest officer ll ndio usiombe hawaujui mshahara kabisa ndio maana utakuta wengi wana gridi so wadada wapenda pesa inakula kwao [emoji16]

Ubaya wa forest hela na madili yapo kwenye plantation forest Ila ukipangiwa kwenye natural forest hamna kitu

Yaani forest nawajua a to z nina wanangu tu wengi tulikuwepo nao sua wamesoma hio kozi .. na pale sua collage inayoongoza kwa mapato na utajiri ni college ya forestry na ma Prof wake wana hela sio poa hivi vi research na vimradi na foreigners government au organization wanavifanya Sana .

Yupo dogo langu mmoja alimaliza karibuni akaamua aende upolisi sijui alipotelea wapi ila alikuwa anasema sema ni njaa tu imemsumbua ila anajilaumu kukosa jeshi la uhifadhi la misitu
 
ukweli mtupu
 
Kuna Prof mmoja wa misitu mtt wake ana degree flan ila kampeleka college moja hiv pale Mwanza sijui inaitwa Pasiansi akachukue Certificate tu then aje aingie huko misitu...inaonekana kuna ulaj sana huko.
Nawaonaga hawa wanaojiita "makamishna wa misitu" na vyeo vyao kama wajeda dadek πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
sema ajira zao zinapitia utumishi,mnaweza piga leo usahili placement utasubiri sanaa
 
sema ajira zao zinapitia utumishi,mnaweza piga leo usahili placement utasubiri sanaa
Huu ndio upuuzi wa ajira za serikali. Unaweza ukasahau kabisa. Yani mm nikiingia ajira portal Received application kibao nishazikatia tamaa yan kama naingia serikalin bora nikomae na majeshi tu.Otherwise bora niingie private tu
 
Huu ndio upuuzi wa ajira za serikali. Unaweza ukasahau kabisa. Yani mm nikiingia ajira portal Received application kibao nishazikatia tamaa yan kama naingia serikalin bora nikomae na majeshi tu.Otherwise bora niingie private tu
sio poa mkuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Et Yanga afungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…