Kazi kwako kutimia kila kipindi au uwe mjanja upunguze makali ya course kwa kukamata kitengoHadi mafunzoni watu wanakula vitengo 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kwako kutimia kila kipindi au uwe mjanja upunguze makali ya course kwa kukamata kitengoHadi mafunzoni watu wanakula vitengo 😅
PT hatuna hizi mambo asee. Porini labda ndio kuna route nyingi za kupandisha vilima wakati wa kurudi kwenda kula.Vipi kula kwa route?
Kwani ukiwa chomboni ukienda kusoma haulipwi mshahara?
Unakula na kipofu mkuu, mambo inakuwa bulbul
ukweli mtupuMisitu ina hela kama utapata tfs ila ukipata halmashauri ndugu yangu hapo umepoteza miaka yako mitatu sua kizembe tu utaishia kusoma magazeti ofsini
Achana na diploma wale degree wanaoanza na forest officer ll ndio usiombe hawaujui mshahara kabisa ndio maana utakuta wengi wana gridi so wadada wapenda pesa inakula kwao [emoji16]
Ubaya wa forest hela na madili yapo kwenye plantation forest Ila ukipangiwa kwenye natural forest hamna kitu
Yaani forest nawajua a to z nina wanangu tu wengi tulikuwepo nao sua wamesoma hio kozi .. na pale sua collage inayoongoza kwa mapato na utajiri ni college ya forestry na ma Prof wake wana hela sio poa hivi vi research na vimradi na foreigners government au organization wanavifanya Sana .
Yupo dogo langu mmoja alimaliza karibuni akaamua aende upolisi sijui alipotelea wapi ila alikuwa anasema sema ni njaa tu imemsumbua ila anajilaumu kukosa jeshi la uhifadhi la misitu
Kuna Prof mmoja wa misitu mtt wake ana degree flan ila kampeleka college moja hiv pale Mwanza sijui inaitwa Pasiansi akachukue Certificate tu then aje aingie huko misitu...inaonekana kuna ulaj sana huko.Misitu ina hela kama utapata tfs ila ukipata halmashauri ndugu yangu hapo umepoteza miaka yako mitatu sua kizembe tu utaishia kusoma magazeti ofsini
Achana na diploma wale degree wanaoanza na forest officer ll ndio usiombe hawaujui mshahara kabisa ndio maana utakuta wengi wana gridi so wadada wapenda pesa inakula kwao [emoji16]
Ubaya wa forest hela na madili yapo kwenye plantation forest Ila ukipangiwa kwenye natural forest hamna kitu
Yaani forest nawajua a to z nina wanangu tu wengi tulikuwepo nao sua wamesoma hio kozi .. na pale sua collage inayoongoza kwa mapato na utajiri ni college ya forestry na ma Prof wake wana hela sio poa hivi vi research na vimradi na foreigners government au organization wanavifanya Sana .
Yupo dogo langu mmoja alimaliza karibuni akaamua aende upolisi sijui alipotelea wapi ila alikuwa anasema sema ni njaa tu imemsumbua ila anajilaumu kukosa jeshi la uhifadhi la misitu
sema ajira zao zinapitia utumishi,mnaweza piga leo usahili placement utasubiri sanaaKuna Prof mmoja wa misitu mtt wake ana degree flan ila kampeleka college moja hiv pale Mwanza sijui inaitwa Pasiansi akachukue Certificate tu then aje aingie huko misitu...inaonekana kuna ulaj sana huko.
Nawaonaga hawa wanaojiita "makamishna wa misitu" na vyeo vyao kama wajeda dadek 😂😂😂
Yeah kuanzia mwaka huu magereza wamekuwa included kusimamia mitihaniUnataka kusema magereza, UT, ZT nao wanasimamia hizo mambo? [emoji848]
Huu ndio upuuzi wa ajira za serikali. Unaweza ukasahau kabisa. Yani mm nikiingia ajira portal Received application kibao nishazikatia tamaa yan kama naingia serikalin bora nikomae na majeshi tu.Otherwise bora niingie private tusema ajira zao zinapitia utumishi,mnaweza piga leo usahili placement utasubiri sanaa
sio poa mkuuHuu ndio upuuzi wa ajira za serikali. Unaweza ukasahau kabisa. Yani mm nikiingia ajira portal Received application kibao nishazikatia tamaa yan kama naingia serikalin bora nikomae na majeshi tu.Otherwise bora niingie private tu
Ushapata jiandae na kozi mkuuSawa mkuu...lakini kwenye attachments niliambatanisha na kadi ya ccm sasa sijui kama itasaidia
Jamaa ako ana vituko sanaUshapata jiandae na kozi mkuu
Mkuu Punguza ukali wa maneno, Mungu ndio mtoa ridhikiPumbafu ni manini ayo umeandika, ko unafikir we mfwende utapewa kitengo kip kati ya ivyo. Nonsense. Kwanza kazi yenyewe hutopata! Umepoteza bure pesa zako za posta
Hahahahah wanaletaga morali watu kama hawaJamaa ako ana vituko sana
Sema jamaa kawaza mbali sana 😂Hahahahah wanaletaga morali watu kama hawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Et Yanga afungweYule Mwamba ni kamanda asee. Yani mnaweza mchukia ila jamaa anatoa askari. Anaweza akawapa kazi kisa mmeoga vizur na kupendeza au umepaka pafyumu [emoji23]. Anakuambia askari upo porini unanukia pafyumu, hapana. Mnaanza maovyo ovyo...au usiombe mpo pori afu Yanga ikafungwa mtakula kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] ila at the end mnazoea
Magereza ndio Nimeona wanasimamia sana Pepa nowdays hasa huko wilayaniUnataka kusema magereza, UT, ZT nao wanasimamia hizo mambo? [emoji848]
[emoji23] UVCCMSawa mkuu...lakini kwenye attachments niliambatanisha na kadi ya ccm sasa sijui kama itasaidia