Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Katika pita pita zangu uko juu nimekutana na kipengele cha kwata.
Viongoz hakuna jeshi linalo piga kwata nzuri kama Magereza hawa jamaa waonetu na kuwa sikia kweki hali ya mazingira kikazi aiko poa ila hawa Jamaa respect hakuna mfano kwa Majeshi hapa Tz.🕵
1. Jw wanakwata modified yan kwata la Jw ni unpouse kitendo kwa haraka na ufasaha. Yani wanafanya kwata la bila pouse mf 1 mbil 3 moja...
2. Wazee wa kazi MT wao ni pouse mf 1 mbil 3 nne Tanooo 6 saba nanemoo..
Na itoshe kusema ndio vinara wa kwata za matukio Makubwa hata wakufunzi pia ni wahusika wakubwa kwenye uandaaji n.k😆😆

Wangu mtazamo...
 
Hilo halina upinzani..kwa majeshi hamna anaegusa kwata la Magereza ..MT hata mafunzo yao sio poa
 
kuna winter sio poa kuleee.....mwaka jana nilijiandaa hadi nilinunua makoti 😅😅
 
Kuna Prof mmoja wa misitu mtt wake ana degree flan ila kampeleka college moja hiv pale Mwanza sijui inaitwa Pasiansi akachukue Certificate tu then aje aingie huko misitu...inaonekana kuna ulaj sana huko.
Nawaonaga hawa wanaojiita "makamishna wa misitu" na vyeo vyao kama wajeda dadek [emoji23][emoji23][emoji23]
Wale ni jeshi kabisa Wana kamishina kabisa anaitwa PROf do Santos silayo

Alikuwaga Prof pale sua kabla ya kuteuliwa huko .
 
sema ajira zao zinapitia utumishi,mnaweza piga leo usahili placement utasubiri sanaa
Hadi forest guard wale form 4 wanapitia utumishi nishangaa sana . sema ukipata misitu ukiwa hata accountant au secretary umeua yani

Na kumbuka apo awali walikuwa wakijipangia mishahara
 
Pumbafu ni manini ayo umeandika, ko unafikir we mfwende utapewa kitengo kip kati ya ivyo. Nonsense. Kwanza kazi yenyewe hutopata! Umepoteza bure pesa zako za posta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wew jamaa itakuw ulipokea bahasha ya mwamba ili uipost hlf umeikalia tu[emoji1787]
 
Back
Top Bottom