Deltacoy
Member
- Oct 29, 2018
- 29
- 43
Katika pita pita zangu uko juu nimekutana na kipengele cha kwata.
Viongoz hakuna jeshi linalo piga kwata nzuri kama Magereza hawa jamaa waonetu na kuwa sikia kweki hali ya mazingira kikazi aiko poa ila hawa Jamaa respect hakuna mfano kwa Majeshi hapa Tz.🕵
1. Jw wanakwata modified yan kwata la Jw ni unpouse kitendo kwa haraka na ufasaha. Yani wanafanya kwata la bila pouse mf 1 mbil 3 moja...
2. Wazee wa kazi MT wao ni pouse mf 1 mbil 3 nne Tanooo 6 saba nanemoo..
Na itoshe kusema ndio vinara wa kwata za matukio Makubwa hata wakufunzi pia ni wahusika wakubwa kwenye uandaaji n.k😆😆
Wangu mtazamo...