Amesema hizo week mbili za mkesha.Jwtz 6week za mwanzo hamna kazi yako kunyoosha shuka tu yaan jua linakuchomozea ukiwa unakula kazi(HAKUNA KULALA),Je PT vipi muda gani kitanda kitakuwa hakina maana kwako?
Piteni usaili kwanza tuwape mbinu vijana.Sema kitengo cha mbwa na farasi kimekaa poa sana nasikia.
Ukiwa katika hiki kitengo at least mtu unakuwa unapata muda wa kulalia mgongo.
Master parade sio poa..maana ni mwendo wa kujira tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]daaah nshapagawa mkuu ila kula kazi siku nzima alafu hulali akili ni kama inarestart hivi unakuwa kama zombie.
Mkuu wadau wameshusha nondo huko juu.uzi mzuri sana. lonja za kutosha
Mwanangu sio poa kaka tulikeshaga mtabila pale mpaka kunakucha mwendo wa mahovyo hovyo tu alafu alfajiri tukaamsha mabio, kmmk tulikuwa kama mazombie, kwanza tulikuwa tunakimbia huku tunayumba, aah yaani unamuona mwenzako anakimbia huku anapepesuka na kuyumba mpaka anaanguka kwasababu ya usingizi daah[emoji23][emoji23][emoji23]daaah nshapagawa mkuu ila kula kazi siku nzima alafu hulali akili ni kama inarestart hivi unakuwa kama zombie.
Mwanangu sio poa kaka tulikeshaga mtabila pale mpaka kunakucha mwendo wa mahovyo hovyo tu alafu alfajiri tukaamsha mabio, kmmk tulikuwa kama mazombie, kwanza tulikuwa tunakimbia huku tunayumba, aah yaani unamuona mwenzako anakimbia huku anapepesuka na kuyumba mpaka anaanguka kwasababu ya usingizi daah
Nataman kujua walioenda usaili UT...walifanya written tu au kuna oral pia?Tupieni ,possible za usaili kwa wazoefu ..Tujifunze mbinu mbalimbali za kuelimishana na kutoboa
Kaka yaani kule ni hatareeeDadeki kambi za kigoma sio. Nilipita Kanembwa enzi zetu. Tulikuw tunakula scale za hatari sana..hamna cha mujibu wala kujitolea
Jiandae na maswali ya uraia(civics) na current issueMkuu wadau wameshusha nondo huko juu.
Wanasema kua depo ya uhamiaji sasaiv inajulikana kama Raphael Lubanga na sio tena kichaka mwiba.
Ko tuwe makini mzee kwenye usahili maana unaweza ulizwa swali kama hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dadeki kambi za kigoma sio. Nilipita Kanembwa enzi zetu. Tulikuw tunakula scale za hatari sana..hamna cha mujibu wala kujitolea
nitalifuatilia hili mkuu wanguMkuu wadau wameshusha nondo huko juu.
Wanasema kua depo ya uhamiaji sasaiv inajulikana kama Raphael Lubanga na sio tena kichaka mwiba.
Ko tuwe makini mzee kwenye usahili maana unaweza ulizwa swali kama hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhimu sana ,hili kujua ili kujipanga vyemaNataman kujua walioenda usaili UT...walifanya written tu au kuna oral pia?
nitalifuatilia hili mkuu wangu
Me nimeanza kuwapenda kipind nasoma shule,shule niliyosoma ipo karibu na kambi ya FFU jinsi walivyo Smart zile uniform zao na kofia zao nyekundu na ni watu wa utayari muda wowote, kingine na vile me nimtu wa kupenda mazoez ya ukakamavu wa mwili,me huwa nikiwaona wamevaa full zile uniform nawashangaa sana jinsi wanavyopendeza na walivyosmart, kingine napenda shuruba Sana mimi mambo ya kukalia viti virefu siyakubali Sana kwangu Mimi.pia ni watu ambao huwaoni hovyo hovyo kwenye matukio yasiyo na mantiki Sana
Jiandae na maswali ya uraia(civics) na current issue
Nina mwanangu mmoja tunapigwa jua hafu huyu kaganda ni dada ake.Yah..huku mimi sikuomba saiv nategesha tu connections tu mzee. Hata majina ya kwenda kureport yakitoka kama unaconnection unaweza enda report tu .CCp wtu huwa wanareport hata baada ya miezi miwli course kuanza [emoji23][emoji23][emoji23]. Ila Mama Kaganda anaweza akakaza si unamjua yule kanyooka ...watu wanaweza wasiingie ovyo CCp