Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ndugu zangu mtakao fanikiwa kuingia CCp kitu cha kwanza usidoji vipindi , ukikamatwa sio kama jkt eti utakula doso then wakuache hapana[emoji3064]
Yani wakikubaini unafukuzwa siku hiyo hiyo bila kupepesa macho[emoji15][emoji15]hawakuonei huruma wale jamaa
Kingine ukienda kuripoti usiende na mavitu mengi kama mtalii we nenda na begi lako la kawaida, pia kama una ndugu moshi weka vitu vyako kwa ndugu yako baada ya mkesha wa wiki kama mbili wasiliana nae akuletee.
Kama unampango wa kuwa na simu kwenye kozi hiyo mambo acha kabisa itakuaribia maisha[emoji847]

Kama wewe ni mitombo coy huwezi kuishi bila kuchakata mbususu my friend we jifunze kupiga nyeto tu

Kama ukitaka kuishi vizuri matengo yafuatayo ni ya kukaba mapema
1. Table leader wa kudumu
Hapa wewe utakuwa unawahudumia wenzako kwa kuwapa chakula ikifika mda wa kula
Note: ukitaka kuwa table leader wa kudumu ishi vizuri na leader wako awe anakupanga kila siku
2.kama unafani za afya jitahidi ukabe tengo la zahanati ukifaulu we umeweza maisha ya ccp utaishi kama mfalme wa nyika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3. Kaba fundi magari yani hata kama hujui kutengeneza magari we komaaa tu hata wakikuliza wambie nimesomea kabisa veta na cheti ninacho[emoji16][emoji16][emoji16]usiogope maana hawawezi kwambia ulete cheti ila tu japo ujue hata kufungua tairi na mambo ya uongo na kweli
4. Kaba tengo la mbwa na farasi hutajutia
5.kama umesomea kompyuta au records jipendekeze mapema kwa makamanda wa ofisi kuu na masijala hutasumbuliwa

MUHIMU:
TENGO PEKEE LA KULA MAISHA PORINI NI KUWA FUNDI GARI NA KUOSHA GARI YA MKUU WA PORI
PIA KUFANYA KAZI KWENYE BOZA LA MAJI HAYO YOTE MPAKA UWE UMEKABA TENGO LA FUNDI MAGARI TOKA CCP MJINI NA UKAZOEANA NA MAKAMANDA WA MT- SECTION MAANA WAO NDO UTAWAKUTA UKO

Mwisho
Fanya yote ila usije acha kuimba ule wimbo wa mimi kuruta aisee utafukuzwa na wala huwezi amini aisee
KILA LA HERI KWA WATAKAO CHAGULIWA
 
Asante kaka .
 

Hapo kwenye kujichua sio mazee maana me najua ukijichua utajisababishia ata uchovu na viungo kuwa vikavu hasahasa magotini apo itakuwa rahisi kwako kuvunjika.

Kwa scale ndogo tu niliopiga Mujibu wa sheria nilishindwa ata kusimamisha asee uyo ataesimamisha kozi ya ajira kweli ni sex machine maana navyojua roho ni yako mwili wa maafande so ata tamaa hujui utaipata lini.
 
Daaah nimeelewa!! Je hamna Tengo la Jikoni. Kuandaa misosi? Maana nje ya taaluma wengine ndo side hustle..
 
me ni no 2 hapo
 
Kuna watu 2 na 3 zinatuhusu
 
kudoji mara kwa mara au hata mara moja tu...
 
Mm naomba kuuliza usipopata tengo utakua unafanya shughuli ngumu sana ama?..
mwanadamu anapenda kujitengenezea mazingira rahisi mahali popote aise ..hata usipopata tengo hamna shida
Mimi kazi ambayo naikwepa ni shamba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…