mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Wanangu wa 834kJ wapo kweli humu ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanangu wa 834kJ wapo kweli humu ndani
MakutuporaWanangu wa 834kJ wapo kweli humu ndani
Mkuu nilipitia doc1 nadhani uliituma siku kadhaa wananajukumu mengi 😆😆😆 kweli jamaa wakiwa serious wako smart..mimi na immigration ni family,PT ziada
Kwamba mbano wa njaa ni mkali kiasi kwamba wamefight mpaka nao wapate mgao wa kusimamia mitihani au sio ?Yeah kuanzia mwaka huu magereza wamekuwa included kusimamia mitihani
Ndio kiongozMakutupora
Nasikia wanaubonda hao FFU wakasomeWale kikosi cha kutuliza ghasia magerezani....wale ni wanouma...nusu makomandoo wale
Asante kaka .Ndugu zangu mtakao fanikiwa kuingia CCp kitu cha kwanza usidoji vipindi , ukikamatwa sio kama jkt eti utakula doso then wakuache hapana[emoji3064]
Yani wakikubaini unafukuzwa siku hiyo hiyo bila kupepesa macho[emoji15][emoji15]hawakuonei huruma wale jamaa
Kingine ukienda kuripoti usiende na mavitu mengi kama mtalii we nenda na begi lako la kawaida, pia kama una ndugu moshi weka vitu vyako kwa ndugu yako baada ya mkesha wa wiki kama mbili wasiliana nae akuletee.
Kama unampango wa kuwa na simu kwenye kozi hiyo mambo acha kabisa itakuaribia maisha[emoji847]
Kama wewe ni mitombo coy huwezi kuishi bila kuchakata mbususu my friend we jifunze kupiga nyeto tu
Kama ukitaka kuishi vizuri matengo yafuatayo ni ya kukaba mapema
1. Table leader wa kudumu
Hapa wewe utakuwa unawahudumia wenzako kwa kuwapa chakula ikifika mda wa kula
Note: ukitaka kuwa table leader wa kudumu ishi vizuri na leader wako awe anakupanga kila siku
2.kama unafani za afya jitahidi ukabe tengo la zahanati ukifaulu we umeweza maisha ya ccp utaishi kama mfalme wa nyika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3. Kaba fundi magari yani hata kama hujui kutengeneza magari we komaaa tu hata wakikuliza wambie nimesomea kabisa veta na cheti ninacho[emoji16][emoji16][emoji16]usiogope maana hawawezi kwambia ulete cheti ila tu japo ujujue hata kufungua tairi na mambo ya uongo na kweli
4. Kaba tengo la mbwa na farasi hutajutia
5.kama umesomea kompyuta au records jipendekeze mapema kwa makamanda wa ofisi kuu na masijala hutasumbuliwa
MUHIMU:
TENGO PEKEE LA KULA MAISHA PORINI NI KUWA FUNDI GARI NA KUOSHA GARI YA MKUU WA PORI
PIA KUFANYA KAZI KWENYE BOZA LA MAJI HAYO YOTE MPAKA UWE UMEKABA TEGO LA FUNDI MAGARI TOKA CCP MJINI NA UKAZOEANA NA MAKAMANDA WA MT- SECTION MAANA WAO NDO UTAWAKUTA UKO
Mwisho
Fanya yote ila usije acha kuimba ule wimbo wa mimi kuruta aisee utafukuzwa na wala huwezi amini aisee
KILA LA HERI KWA WATAKAO CHAGULIWA
Ndugu zangu mtakao fanikiwa kuingia CCp kitu cha kwanza usidoji vipindi , ukikamatwa sio kama jkt eti utakula doso then wakuache hapana[emoji3064]
Yani wakikubaini unafukuzwa siku hiyo hiyo bila kupepesa macho[emoji15][emoji15]hawakuonei huruma wale jamaa
Kingine ukienda kuripoti usiende na mavitu mengi kama mtalii we nenda na begi lako la kawaida, pia kama una ndugu moshi weka vitu vyako kwa ndugu yako baada ya mkesha wa wiki kama mbili wasiliana nae akuletee.
Kama unampango wa kuwa na simu kwenye kozi hiyo mambo acha kabisa itakuaribia maisha[emoji847]
Kama wewe ni mitombo coy huwezi kuishi bila kuchakata mbususu my friend we jifunze kupiga nyeto tu
Kama ukitaka kuishi vizuri matengo yafuatayo ni ya kukaba mapema
1. Table leader wa kudumu
Hapa wewe utakuwa unawahudumia wenzako kwa kuwapa chakula ikifika mda wa kula
Note: ukitaka kuwa table leader wa kudumu ishi vizuri na leader wako awe anakupanga kila siku
2.kama unafani za afya jitahidi ukabe tengo la zahanati ukifaulu we umeweza maisha ya ccp utaishi kama mfalme wa nyika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3. Kaba fundi magari yani hata kama hujui kutengeneza magari we komaaa tu hata wakikuliza wambie nimesomea kabisa veta na cheti ninacho[emoji16][emoji16][emoji16]usiogope maana hawawezi kwambia ulete cheti ila tu japo ujue hata kufungua tairi na mambo ya uongo na kweli
4. Kaba tengo la mbwa na farasi hutajutia
5.kama umesomea kompyuta au records jipendekeze mapema kwa makamanda wa ofisi kuu na masijala hutasumbuliwa
MUHIMU:
TENGO PEKEE LA KULA MAISHA PORINI NI KUWA FUNDI GARI NA KUOSHA GARI YA MKUU WA PORI
PIA KUFANYA KAZI KWENYE BOZA LA MAJI HAYO YOTE MPAKA UWE UMEKABA TENGO LA FUNDI MAGARI TOKA CCP MJINI NA UKAZOEANA NA MAKAMANDA WA MT- SECTION MAANA WAO NDO UTAWAKUTA UKO

Lipo ni wepesi wako tuDaaah nimeelewa!! Je hamna Tengo la Jikoni. Kuandaa misosi? Maana nje ya taaluma wengine ndo side hustle..
kwa lt col mbanga[emoji95]Wanangu wa 834kJ wapo kweli humu ndani
Op gan mkuuWanangu wa 834kJ wapo kweli humu ndani
me ni no 2 hapowataalamu wa mambo wana kwambia kuna aina 4 ya watu wanao ingia Jeshini(chomboni) aijalish iwe (Home affair, ofisi ya Rais au wizara ya ulinzi na usalama kwetu hapa Tz.)
01. Mtu wa kwanza niyule anae ingia jeshini kwa sababu Tu nyumbani kwao ni wanajeshi au askarii. Family background yao inamlazimisha kwenda uko.
02. Ni mtu anaye ingia jeshini kwa sababu ana mapenzi toka moyoni nahapa ndipo tuna sema Good solider a born not made. For some case.
03. Huyu ni yule ambaye yeye kwa kuwa hali ya maisha yame mpiga hana namna anajitosa jeshini. Enverinmental issues. Kuwa na coensistance namaanisha uadilifu itategemea na uwelewa katika kuchanganua mambo.
04. Huyu bwana anatamani kuingia jeshini kwa nia ya kualalisha mambo yake machafu mf. Magendo,ubabe dhidi ya sheria kwa wasio usika, n.k hivyo ataingia ila akil yake ni tofaut na misingi ya kiutendaji anawaza dili zisizi na tija. Ila huwa hawakai muda sana...[emoji38][emoji38]
Sisi tuko wapi....[emoji626]
Safi... Good solider are born not made.. for sime case..me ni no 2 hapo
Nimepiga hapo mujibu wa sheriaHahahaha ulikuwa mtabila ndege tai
Kuna watu 2 na 3 zinatuhusuwataalamu wa mambo wana kwambia kuna aina 4 ya watu wanao ingia Jeshini(chomboni) aijalish iwe (Home affair, ofisi ya Rais au wizara ya ulinzi na usalama kwetu hapa Tz.)
01. Mtu wa kwanza niyule anae ingia jeshini kwa sababu Tu nyumbani kwao ni wanajeshi au askarii. Family background yao inamlazimisha kwenda uko.
02. Ni mtu anaye ingia jeshini kwa sababu ana mapenzi toka moyoni nahapa ndipo tuna sema Good solider a born not made. For some case.
03. Huyu ni yule ambaye yeye kwa kuwa hali ya maisha yame mpiga hana namna anajitosa jeshini. Enverinmental issues. Kuwa na coensistance namaanisha uadilifu itategemea na uwelewa katika kuchanganua mambo.
04. Huyu bwana anatamani kuingia jeshini kwa nia ya kualalisha mambo yake machafu mf. Magendo,ubabe dhidi ya sheria kwa wasio usika, n.k hivyo ataingia ila akil yake ni tofaut na misingi ya kiutendaji anawaza dili zisizi na tija. Ila huwa hawakai muda sana...😆😆
Sisi tuko wapi....🚩
kudoji mara kwa mara au hata mara moja tu...Ndugu zangu mtakao fanikiwa kuingia CCp kitu cha kwanza usidoji vipindi , ukikamatwa sio kama jkt eti utakula doso then wakuache hapana[emoji3064]
Yani wakikubaini unafukuzwa siku hiyo hiyo bila kupepesa macho[emoji15][emoji15]hawakuonei huruma wale jamaa
Kingine ukienda kuripoti usiende na mavitu mengi kama mtalii we nenda na begi lako la kawaida, pia kama una ndugu moshi weka vitu vyako kwa ndugu yako baada ya mkesha wa wiki kama mbili wasiliana nae akuletee.
Kama unampango wa kuwa na simu kwenye kozi hiyo mambo acha kabisa itakuaribia maisha[emoji847]
Kama wewe ni mitombo coy huwezi kuishi bila kuchakata mbususu my friend we jifunze kupiga nyeto tu
Kama ukitaka kuishi vizuri matengo yafuatayo ni ya kukaba mapema
1. Table leader wa kudumu
Hapa wewe utakuwa unawahudumia wenzako kwa kuwapa chakula ikifika mda wa kula
Note: ukitaka kuwa table leader wa kudumu ishi vizuri na leader wako awe anakupanga kila siku
2.kama unafani za afya jitahidi ukabe tengo la zahanati ukifaulu we umeweza maisha ya ccp utaishi kama mfalme wa nyika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3. Kaba fundi magari yani hata kama hujui kutengeneza magari we komaaa tu hata wakikuliza wambie nimesomea kabisa veta na cheti ninacho[emoji16][emoji16][emoji16]usiogope maana hawawezi kwambia ulete cheti ila tu japo ujue hata kufungua tairi na mambo ya uongo na kweli
4. Kaba tengo la mbwa na farasi hutajutia
5.kama umesomea kompyuta au records jipendekeze mapema kwa makamanda wa ofisi kuu na masijala hutasumbuliwa
MUHIMU:
TENGO PEKEE LA KULA MAISHA PORINI NI KUWA FUNDI GARI NA KUOSHA GARI YA MKUU WA PORI
PIA KUFANYA KAZI KWENYE BOZA LA MAJI HAYO YOTE MPAKA UWE UMEKABA TENGO LA FUNDI MAGARI TOKA CCP MJINI NA UKAZOEANA NA MAKAMANDA WA MT- SECTION MAANA WAO NDO UTAWAKUTA UKO
Mwisho
Fanya yote ila usije acha kuimba ule wimbo wa mimi kuruta aisee utafukuzwa na wala huwezi amini aisee
KILA LA HERI KWA WATAKAO CHAGULIWA
Mm naomba kuuliza usipopata tengo utakua unafanya shughuli ngumu sana ama?..Ndugu zangu mtakao fanikiwa kuingia CCp kitu cha kwanza usidoji vipindi , ukikamatwa sio kama jkt eti utakula doso then wakuache hapana[emoji3064]