mahenda255
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 513
- 691
Hata mara moja unapepeakudoji mara kwa mara au hata mara moja tu...
tuombeane tu afsaMkuu nilipitia doc1 nadhani uliituma siku kadhaa wananajukumu mengi πππ kweli jamaa wakiwa serious wako smart..
Hao ni wanouma kaka ...japo siwez compare na FFU maana kuna FFU wana mafunzo ya hatariNasikia wanaubonda hao FFU wakasome
Poti umemaliza...kilichobaki wapite usaili tu. Ila pia wasijifanye mapenzi wanayajua sana na kuanza kuhudumia madawiri kama ndio wapenzi wao wakat siku ya mwisho wewe unapangwa mtwara yeye anaenda kigoma...mbususu inaenda kusuguliwa huko na usikute umehudumia tu bila kugonga πNdugu zangu mtakao fanikiwa kuingia CCp kitu cha kwanza usidoji vipindi , ukikamatwa sio kama jkt eti utakula doso then wakuache hapana[emoji3064]
Yani wakikubaini unafukuzwa siku hiyo hiyo bila kupepesa macho[emoji15][emoji15]hawakuonei huruma wale jamaa
Kingine ukienda kuripoti usiende na mavitu mengi kama mtalii we nenda na begi lako la kawaida, pia kama una ndugu moshi weka vitu vyako kwa ndugu yako baada ya mkesha wa wiki kama mbili wasiliana nae akuletee.
Kama unampango wa kuwa na simu kwenye kozi hiyo mambo acha kabisa itakuaribia maisha[emoji847]
Kama wewe ni mitombo coy huwezi kuishi bila kuchakata mbususu my friend we jifunze kupiga nyeto tu
Kama ukitaka kuishi vizuri matengo yafuatayo ni ya kukaba mapema
1. Table leader wa kudumu
Hapa wewe utakuwa unawahudumia wenzako kwa kuwapa chakula ikifika mda wa kula
Note: ukitaka kuwa table leader wa kudumu ishi vizuri na leader wako awe anakupanga kila siku
2.kama unafani za afya jitahidi ukabe tengo la zahanati ukifaulu we umeweza maisha ya ccp utaishi kama mfalme wa nyika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3. Kaba fundi magari yani hata kama hujui kutengeneza magari we komaaa tu hata wakikuliza wambie nimesomea kabisa veta na cheti ninacho[emoji16][emoji16][emoji16]usiogope maana hawawezi kwambia ulete cheti ila tu japo ujue hata kufungua tairi na mambo ya uongo na kweli
4. Kaba tengo la mbwa na farasi hutajutia
5.kama umesomea kompyuta au records jipendekeze mapema kwa makamanda wa ofisi kuu na masijala hutasumbuliwa
MUHIMU:
TENGO PEKEE LA KULA MAISHA PORINI NI KUWA FUNDI GARI NA KUOSHA GARI YA MKUU WA PORI
PIA KUFANYA KAZI KWENYE BOZA LA MAJI HAYO YOTE MPAKA UWE UMEKABA TENGO LA FUNDI MAGARI TOKA CCP MJINI NA UKAZOEANA NA MAKAMANDA WA MT- SECTION MAANA WAO NDO UTAWAKUTA UKO
Mwisho
Fanya yote ila usije acha kuimba ule wimbo wa mimi kuruta aisee utafukuzwa na wala huwezi amini aisee
KILA LA HERI KWA WATAKAO CHAGULIWA
Wapo serious sana aiseHata mara moja unapepea
Noted mkuuNdugu zangu mtakao fanikiwa kuingia CCp kitu cha kwanza usidoji vipindi , ukikamatwa sio kama jkt eti utakula doso then wakuache hapana[emoji3064]
Yani wakikubaini unafukuzwa siku hiyo hiyo bila kupepesa macho[emoji15][emoji15]hawakuonei huruma wale jamaa
Kingine ukienda kuripoti usiende na mavitu mengi kama mtalii we nenda na begi lako la kawaida, pia kama una ndugu moshi weka vitu vyako kwa ndugu yako baada ya mkesha wa wiki kama mbili wasiliana nae akuletee.
Kama unampango wa kuwa na simu kwenye kozi hiyo mambo acha kabisa itakuaribia maisha[emoji847]
Kama wewe ni mitombo coy huwezi kuishi bila kuchakata mbususu my friend we jifunze kupiga nyeto tu
Kama ukitaka kuishi vizuri matengo yafuatayo ni ya kukaba mapema
1. Table leader wa kudumu
Hapa wewe utakuwa unawahudumia wenzako kwa kuwapa chakula ikifika mda wa kula
Note: ukitaka kuwa table leader wa kudumu ishi vizuri na leader wako awe anakupanga kila siku
2.kama unafani za afya jitahidi ukabe tengo la zahanati ukifaulu we umeweza maisha ya ccp utaishi kama mfalme wa nyika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3. Kaba fundi magari yani hata kama hujui kutengeneza magari we komaaa tu hata wakikuliza wambie nimesomea kabisa veta na cheti ninacho[emoji16][emoji16][emoji16]usiogope maana hawawezi kwambia ulete cheti ila tu japo ujue hata kufungua tairi na mambo ya uongo na kweli
4. Kaba tengo la mbwa na farasi hutajutia
5.kama umesomea kompyuta au records jipendekeze mapema kwa makamanda wa ofisi kuu na masijala hutasumbuliwa
MUHIMU:
TENGO PEKEE LA KULA MAISHA PORINI NI KUWA FUNDI GARI NA KUOSHA GARI YA MKUU WA PORI
PIA KUFANYA KAZI KWENYE BOZA LA MAJI HAYO YOTE MPAKA UWE UMEKABA TENGO LA FUNDI MAGARI TOKA CCP MJINI NA UKAZOEANA NA MAKAMANDA WA MT- SECTION MAANA WAO NDO UTAWAKUTA UKO
Mwisho
Fanya yote ila usije acha kuimba ule wimbo wa mimi kuruta aisee utafukuzwa na wala huwezi amini aisee
KILA LA HERI KWA WATAKAO CHAGULIWA
Hakuna shamba CCP...usipokuwa na tengo basi kazi zingine na vipindi vingine utahudhuria. Kipindi kinachoumiza au watu wanakichoka ni kwata asee...jua kali afu mnapigia kwenye lami..na kwata polisi wanataka muwe perfect yani so skill ndogo ya kwata mnaweza tumia muda mrefu sana kuisoma. Mtaanza na fungaaaa funguaaaaaa dadek mpaka mtaichoka...hiyo siku mwanzon tulipiga funga fungua mpaka nikaona nataka kuanguka yan sukari ilikuw chini...muda wa chai ulipofika niliapa kuwa sitarudi tena kwenye kwata nikavamia tengo chap πππππ..sijawah penda kwata mm.Mm naomba kuuliza usipopata tengo utakua unafanya shughuli ngumu sana ama?..
mwanadamu anapenda kujitengenezea mazingira rahisi mahali popote aise ..hata usipopata tengo hamna shida
Mimi kazi ambayo naikwepa ni shamba tu
Hahhaha kaka nimecheka sana aise eti funga fungja mpaka ukahisi unazimia...mm hyo kwata ndio naipenda sasaHakuna shamba CCP...usipokuwa na tengo basi kazi zingine na vipindi vingine utahudhuria. Kipindi kinachoumiza au watu wanakichoka ni kwata asee...jua kali afu mnapigia kwenye lami..na kwata polisi wanataka muwe perfect yani so skill ndogo ya kwata mnaweza tumia muda mrefu sana kuisoma. Mtaanza na fungaaaa funguaaaaaa dadek mpaka mtaichoka...hiyo siku mwanzon tulipiga funga fungua mpaka nikaona nataka kuanguka yan sukari ilikuw chini...muda wa chai ulipofika niliapa kuwa sitarudi tena kwenye kwata nikavamia tengo chap πππππ..sijawah penda kwata mm.
Hahhaha kaka nimecheka sana aise eti funga fungja mpaka ukahisi unazimia...mm hyo kwata ndio naipenda sasa
Kumbe ukiwa tengo hupigi kwata....hapo sitataka kitengo chochote...mm ni tengo la kwataHakuna shamba CCP...usipokuwa na tengo basi kazi zingine na vipindi vingine utahudhuria. Kipindi kinachoumiza au watu wanakichoka ni kwata asee...jua kali afu mnapigia kwenye lami..na kwata polisi wanataka muwe perfect yani so skill ndogo ya kwata mnaweza tumia muda mrefu sana kuisoma. Mtaanza na fungaaaa funguaaaaaa dadek mpaka mtaichoka...hiyo siku mwanzon tulipiga funga fungua mpaka nikaona nataka kuanguka yan sukari ilikuw chini...muda wa chai ulipofika niliapa kuwa sitarudi tena kwenye kwata nikavamia tengo chap πππππ..sijawah penda kwata mm.
Kaka huwa nikilala naota kwata ...Hakuna shamba CCP...usipokuwa na tengo basi kazi zingine na vipindi vingine utahudhuria. Kipindi kinachoumiza au watu wanakichoka ni kwata asee...jua kali afu mnapigia kwenye lami..na kwata polisi wanataka muwe perfect yani so skill ndogo ya kwata mnaweza tumia muda mrefu sana kuisoma. Mtaanza na fungaaaa funguaaaaaa dadek mpaka mtaichoka...hiyo siku mwanzon tulipiga funga fungua mpaka nikaona nataka kuanguka yan sukari ilikuw chini...muda wa chai ulipofika niliapa kuwa sitarudi tena kwenye kwata nikavamia tengo chap πππππ..sijawah penda kwata mm.
Kuna kasheshe usipokaba tengo imagine umeamka saa 6 usiku ukaenda mabio kurudi saa 11 alfajiri hapo itabid uoge na upige pasi na kuburu viatu then uingie masta parade[emoji849]hapo ndo shida ilipo ukitolewa mchafu kazi unayo utakula kazi mpk utahisi kufaMm naomba kuuliza usipopata tengo utakua unafanya shughuli ngumu sana ama?..
mwanadamu anapenda kujitengenezea mazingira rahisi mahali popote aise ..hata usipopata tengo hamna shida
Mimi kazi ambayo naikwepa ni shamba tu
Sasa funga fungua ni ya kuipiga wiki nzima kweliHahhaha kaka nimecheka sana aise eti funga fungja mpaka ukahisi unazimia...mm hyo kwata ndio naipenda sasa
Hapana sio hivyo basi tu tukiwa tumechoka tulikuw tunatumie excuse ya kufanya kazi tengo tu.Kumbe ukiwa tengo hupigi kwata....hapo sitataka kitengo chochote...mm ni tengo la kwata
Kwata noma hata JKT kwata lilikuwa linaniboa sana ,mi Bora nile doso Tu kuliko kwata na nilikuwa nadoji sana kwata nishakamatwa mara nyingi na nilichezea doso heavy la makamanda wa pale Oljoro 833KJ mpaka nikaota sugu , ila nilikuwa sikomi kudoji nahisi nikiingia Polisi watanifukuza tu ,π€£π€£π€£π€£ ,nikikumbuka JKT huwa nacheka sana ,kuna siku umepigwa msako mkali makamanda na ma MP kambini wanajitafutia mamaster wa kudoji kwata na vipindi combania na kujificha pori ,nakwambia mpaka na MP nao waliunga tela walitusaka porini na mwanangu mhuni mmoja hivi na washkaji wengine kadhaa manunda wa doso na kudoji , mwisho wa siku na MP walitudaka ,doso tulilopigwa ni siri yangu π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππHakuna shamba CCP...usipokuwa na tengo basi kazi zingine na vipindi vingine utahudhuria. Kipindi kinachoumiza au watu wanakichoka ni kwata asee...jua kali afu mnapigia kwenye lami..na kwata polisi wanataka muwe perfect yani so skill ndogo ya kwata mnaweza tumia muda mrefu sana kuisoma. Mtaanza na fungaaaa funguaaaaaa dadek mpaka mtaichoka...hiyo siku mwanzon tulipiga funga fungua mpaka nikaona nataka kuanguka yan sukari ilikuw chini...muda wa chai ulipofika niliapa kuwa sitarudi tena kwenye kwata nikavamia tengo chap πππππ..sijawah penda kwata mm.
Ila kweli man miezi 9 parefuHapana sio hivyo basi tu tukiwa tumechoka tulikuw tunatumie excuse ya kufanya kazi tengo tu.
Kaka miezi 9 sio miezi 3 ya mujibu. Hilo kwata unalolipenda utalichoka.
VP na Tabia ..km mtatamtata au unatabia za kibabe nasikia ndo wanawachagua pia watu km haoFungu Fanta unywe ni Kikosi Maalum uwez jipeleka. Zaid ni wakat mko uwa kuna special team ya ufuatiliaj wao ndio wana assing nani na kwa nini. Fitness yako nidham Utiif n.k
Acha tu niliwai kushuudia mkuu wa kambi anapewa M7 awaachie wanakijiji wasepe bila mbao zao ila mwamba akakaza anataka 15Watu wanaingiza pesa kimasihara[emoji23][emoji23]
Unalipwa ila anasema mwaka mzima madili yatakauompita ni zaidi ya M 50 alafu akienda kusoma mshahara unaongezeka laki na nusu tuKwani ukiwa chomboni ukienda kusoma haulipwi mshahara?