Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Unadhani huu usaili ungewahitaji vijana walioko makambini JKT tu mpaka sasa vingehitajika vielelezo vyote hivyo?

PT wanachukua uraiani na JKT sasa unapochukua uraiani ni lazima ujiridhishe mtu unayemchukua ni sahihi.
Sasa form ya afya kutoka kwa daktari ya nn???
 
Mmmmhhh Acha Kutisha watu.Wao walishasema taarifa Rasmi zitatoka Kupitia Mitandao na tovuti yao.Mbona taarifa zao zote zimekuwa hivyo.Acha kuandaa kutapeli watu

Hahahahahahahahah....HAYA ENDELEA KUBISHANA..nitawataarifu siku tutayoanza safari ya kwenda moshi.
 
MrBanks na Twyn naona wana Jambo lao humu ndanii.Wanataka Kuanza kuharibu thread Kwa kutaka kuwatapeli watu

Wakuu ni sereous kama unahitaji ku-prove tafuta mawasiliano ya pale dom waulize upate uhakika...then tuletee ushuhuda humu
 
Acha kuwadanganya madogo ukiwa na form six utabaki kuwa askari wa kawaida tu au labda upate koplo hata wenye diploma huishia kupata vyeo vya kawaida tu. Kule polisi ishu ni degree hivyo madogo mukipata ajira hakikisheni mnajindeleza wale wenye manyota msidhani ni form four au six wengi wao wana digrii,masters...n.k
Kwani coplo sio cheo mbona mimi Sargent wa JWTZ nina V 3 nimeingia jeshini mwaka 2000 nikiwa na miaka 17 elimu yangu darasa la saba nina nyumba 4 mbili ziko dar nimepangisha zote ila moja ipo Makambako ndo Nyumbani kwangu ilipo familia yangu, moja Mbeya mjini hii ni hosteri nimepangisha wanafunzi pale chuo cha MUST nina gari 3 na moja yangu ya mke wangu na fuso tani 20 nina shamba kubwa la mpunga tena la mradi hekta 5 nina miaka 10 tena jeshini natarajia kustafu mwaka 2032 nitakuwa na miaka 48 nastaafu nikiwa bado jank tuu na nishasema 2032 nastaafu sitaki mpaka nifiki miaka 55 sina shida kwaiyo basi msitudharau sisi maskari tusio na vyeo tuna ishi vzr tuu na kama ujui awo makamanda wetu ma mojar na ma lutern kanal tuna wakopesha sana pesa mana wanafuliaga hatari mtu kama mm sifurii mana nimejimarisha kiuchumi siongei ivi kama sifa nimeongea hivi kukwambia ww usitudharau sisi maskari na kuwashadadia mafisa wenye vijogoo ukazini kwamba wao wanapesa awana kitu wale njaa kali mana wanapenda sana hanasa walevi na wauni awajui save pesa...acha kudharau askari tusio na vyeo.
 
Kwani coplo sio cheo mbona mimi Sargent wa JWTZ nina V 3 nimeingia jeshini mwaka 2000 nikiwa na miaka 17 elimu yangu darasa la saba nina nyumba 4 nina gari 3 na moja yangu ya mke wangu na fuso tani 20 nina shamba kubwa la mpunga tena la mradi hekta 5 nina miaka 10 tena jeshini natarajia kustafu mwaka 2032 nitakuwa na miaka 48 nastaafu nikiwa bado jank tuu na nishasema 2032 nastaafu sitaki mpaka nifiki miaka 55 sina shida kwaiyo basi msitudharau sisi maskari tusio na vyeo tuna ishi vzr tuu na kama ujui awo makamanda wetu ma mojar na ma lutern kanal tuna wakopesha sana pesa mana wanafuliaga hatari mtu kama mm sifurii mana nimejimarisha siongii ivi kama sifa nimeongea hivi kukwambia ww usitudharau sisi maskari na kuwashadadia mafisa wenye vijogoo ukazini kwamba wao wanapesa awana kitu wale njaa kali mana wanapenda sana hanasa walevi na wauni awajuu save pesa...
Mbona kama umepanic sasa jamaa kaulizia swala LA vyeo we unaanza kuzungumzia pesa ulizonazo kumbuka kuna wenye pesa kukuzidi na wamekausha tu hawaongei mjomba ...naomba kuwasilisha
 
Kwani coplo sio cheo mbona mimi Sargent wa JWTZ nina V 3 nimeingia jeshini mwaka 2000 nikiwa na miaka 17 elimu yangu darasa la saba nina nyumba 4 mbili ziko dar nimepangisha zote ila moja ipo Makambako ndo Nyumbani kwangu ilipo familia yangu, moja Mbeya mjini hii ni hosteri nimepangisha wanafunzi pale chuo cha MUST nina gari 3 na moja yangu ya mke wangu na fuso tani 20 nina shamba kubwa la mpunga tena la mradi hekta 5 nina miaka 10 tena jeshini natarajia kustafu mwaka 2032 nitakuwa na miaka 48 nastaafu nikiwa bado jank tuu na nishasema 2032 nastaafu sitaki mpaka nifiki miaka 55 sina shida kwaiyo basi msitudharau sisi maskari tusio na vyeo tuna ishi vzr tuu na kama ujui awo makamanda wetu ma mojar na ma lutern kanal tuna wakopesha sana pesa mana wanafuliaga hatari mtu kama mm sifurii mana nimejimarisha kiuchumi siongei ivi kama sifa nimeongea hivi kukwambia ww usitudharau sisi maskari na kuwashadadia mafisa wenye vijogoo ukazini kwamba wao wanapesa awana kitu wale njaa kali mana wanapenda sana hanasa walevi na wauni awajui save pesa...acha kudharau askari tusio na vyeo.

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hahahaha Kuna watu Baada ya kuona tupo na Choo Cha Kulipia basi wanataka wao wawe wanapewa sifaaa hahahahah

Duuh yaan wakuu bado hamuanini.?????haya bana ngoja tusubir pdf ya majina....
 
Duuh yaan wakuu bado hamuanini.?????haya bana ngoja tusubir pdf ya majina....
Usijali mkuu, watakuamini wakipigiwa.

Ila kwenye Majeshi na taasisi za ulinzi na usalama sifa Kutoaminiana.

Mtakavyofika huko, cheka na wote ila usiwaamini.. kila mtu anataka ugali wake uwe mwingi..
 
Yani polisi mna mambo ya ajabu sana ndugu zetu nyiny sasa cheti cha kuthibitisha afya kutoka kwa Daktari cha nini???kwani uyo muombaji akija uko amumpimi afya yake ???mpaka mpate cheti kutoka kwa daktari kuthibitisha afya yake je kama mtu akidanganya jee???nu mambo ya hovyo sana.

Mbona sisi atuko hivyo nakumbuka tulienda kufanyisha usaili kambi ya JKT Mgambo kipindi sisi tulikuwa tunataka tuu kuangalia vyeti kama majina yamefananu na kile kiwango chetu cha ufaulu tunachokitaka kama upo clear tunakupima ukimwi,sukari,presha na macho kama vipimo vyote uko vizuri ndo ushapata ajira no longo longo...

By the way ndo mana mna dharaulika na kuambiwa hata iyo Police General Order amuifahamu mnashangaza mno kwann mnakuwa hivi nyinyi ndugu zetu sisi wote tuna save ssme flag why mnamambo ya ajabu ajabu mpaka kuweni specific bhana....
Unajua maana ya Urasimu?

Kuna mtu alikosa kusomea nyota na alienda kujenga ukuta anatajiwa ugonjwa na akirudi kupima home tena mara 3 AMNA kitu
 
Back
Top Bottom