Yani polisi mna mambo ya ajabu sana ndugu zetu nyiny sasa cheti cha kuthibitisha afya kutoka kwa Daktari cha nini???kwani uyo muombaji akija uko amumpimi afya yake ???mpaka mpate cheti kutoka kwa daktari kuthibitisha afya yake je kama mtu akidanganya jee???nu mambo ya hovyo sana.
Mbona sisi atuko hivyo nakumbuka tulienda kufanyisha usaili kambi ya JKT Mgambo kipindi sisi tulikuwa tunataka tuu kuangalia vyeti kama majina yamefananu na kile kiwango chetu cha ufaulu tunachokitaka kama upo clear tunakupima ukimwi,sukari,presha na macho kama vipimo vyote uko vizuri ndo ushapata ajira no longo longo...
By the way ndo mana mna dharaulika na kuambiwa hata iyo Police General Order amuifahamu mnashangaza mno kwann mnakuwa hivi nyinyi ndugu zetu sisi wote tuna save ssme flag why mnamambo ya ajabu ajabu mpaka kuweni specific bhana....