mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Mungu asituache kwenye hizo nafasi.. mimi Niko home akili na mawazo nasubiria kuingia tu CCP.kma ni post za polisi kibali chao kilikua na ajira 3000 sijajua kma kutakuwa na changes. uhamiaji 500post.
🤣Mungu asituache kwenye hizo nafasi.. mimi Niko home akili na mawazo nasubiria kuingia tu CCP.
Tayari walishaingia kitambo, nina mwanangu yuko kule tunawasilianaga Ila alinambia last time "muda wowote tunapelekwa Koh ukiona sipatikani ujue tayari" na kinachoendeleaDadek kuna chance ya kuingia hapa kweli kama wameshaanza course. Nilisikia walikuw uzalendo kwanza makutopora..kumbe wameshaingia msata tayari
Ipo hivyo baba kantuma lazima wapige watu vikumbo hasta ile PDF ya mwishoKwa waliopo Hapo Dodoma Jikoni nini kinaendelea kwa sasa?
NDIO MIDA YA KUWEKA HUYU NA KUTOA HUYU kwenye PDF ili mpambano usiwe mkali au nini kinaendelea waliopo vitengo?
Ipo hivyo baba kantuma lazima wapige watu vikumbo hasta ile PDF ya mwoshKwa waliopo Hapo Dodoma Jikoni nini kinaendelea kwa sasa?
NDIO MIDA YA KUWEKA HUYU NA KUTOA HUYU kwenye PDF ili mpambano usiwe mkali au nini kinaendelea waliopo vitengo?
Pale kulikukuwa na sa major kifutu 2ic wake alikuwa sajenti Muso afu kulikuwa na mchanyambi, Lymo, pengo, Saibog, Nkoo, mkini, Pengo n.kKwa Kifutu na Nyankundo?
Nishike mkono bossPdf ya kwanza kila mtu atawekwa tuu akafanye usaili ila sasa baada ya hapo kwenye hiyo pdf ya mwisho watu hawatoamini. Haijalishi usaili utafanya vzuri au vibaya iyo pdf ya mwisho ya kwenda Ccp watu wengii hawatoaminii macho yao.
mkuu tupe lonja
Na mm nimetuma maombi boss [emoji41]Nishike mkono boss
Dah dadek nimemvamia mzee mmoja hivi kuhusu hii mishe kaniambia nimchek jioni ila kama course ishaanza kitambo sana basi matumain ya kuunganishwa ni madogo.Tayari walishaingia kitambo, nina mwanangu yuko kule tunawasilianaga Ila alinambia last time "muda wowote tunapelekwa Koh ukiona sipatikani ujue tayari" na kinachoendelea
Daaaah.. ngoja niongezee maombi sasa kwa MUNGUNa mm nimetuma maombi boss [emoji41]