Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

time yao hii na wapo wengi humu balaa,uzi za mwaka jana zile watu walikua jikoni mno. najua pia hawakosekani safari hii
 
Dadek kuna chance ya kuingia hapa kweli kama wameshaanza course. Nilisikia walikuw uzalendo kwanza makutopora..kumbe wameshaingia msata tayari
Tayari walishaingia kitambo, nina mwanangu yuko kule tunawasilianaga Ila alinambia last time "muda wowote tunapelekwa Koh ukiona sipatikani ujue tayari" na kinachoendelea
 
Tayari walishaingia kitambo, nina mwanangu yuko kule tunawasilianaga Ila alinambia last time "muda wowote tunapelekwa Koh ukiona sipatikani ujue tayari" na kinachoendelea
Dah dadek nimemvamia mzee mmoja hivi kuhusu hii mishe kaniambia nimchek jioni ila kama course ishaanza kitambo sana basi matumain ya kuunganishwa ni madogo.
 
Back
Top Bottom