Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Jina lako kutokea kwenye pdf ya mwisho hususani kwa professionals ni ngumu sana endapo hauna 'God father'.


Sent using Jamii Forums mobile app
Usiende basi kwenye usaili ukiitwa. wenye connection ni sawa wapo lakini we kajaribu bahati yako mkijiaminisha sana kwenye connection hata usaili mtafanya ovyo hususani fani kwa kuamini connection we kapige usaili wako vizuri then sikilizia pdf ukipata shukuru ukikosa pia shukuru.Mwaka jana kuna watu mbona walipata bila connection??? Vijana mna mteru sana
 
Nakubali kaka
 
Na kwa form four mara nyingi huchukua wale wa vikosini Sana Sana,kuna mikoa ina kambi za jkt hata mbili kama Tanga,kigoma mikoa hii kambi zao wanabebwa wengi Sana
Kwa Sababu kila kambi lazima kuondoke idadi kadhaa ya watu
Dar ina kambi 4 za jkt, mlalakua,kimbiji ,mbweni na mgulani sijui itakuaje huo usahili
 
Dar ina kambi 4 za jkt, mlalakua,kimbiji ,mbweni na mgulani sijui itakuaje huo usahili
Hiyo ni dar tu jkt, bado wale wakuletwa na wakuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Tuishi kwa imani kila mtu ananafasi yake kwa wakati muafaka, naamini ukifika wakati wetu hakuna wakupinga, tusio na mbanga tuwe na imani na tuamini its pissible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…