mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
huyo wa interview aje afafanue vizuri
itakua wa mkoani wameanza sahili!
itakua wa mkoani wameanza sahili!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kurasini au domu kote fresh ,muhimu kutoboa kwenye pdfAnha!! Kumbe ni hapo kurasini.
Nilijua Dodoma tena ambapo napopigwagwa ndoige.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Interview ipi tena jamani View attachment 2464141
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Usiende basi kwenye usaili ukiitwa. wenye connection ni sawa wapo lakini we kajaribu bahati yako mkijiaminisha sana kwenye connection hata usaili mtafanya ovyo hususani fani kwa kuamini connection we kapige usaili wako vizuri then sikilizia pdf ukipata shukuru ukikosa pia shukuru.Mwaka jana kuna watu mbona walipata bila connection??? Vijana mna mteru sanaJina lako kutokea kwenye pdf ya mwisho hususani kwa professionals ni ngumu sana endapo hauna 'God father'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali kakaUsiende basi kwenye usaili ukiitwa. wenye connection ni sawa wapo lakini we kajaribu bahati yako mkijiaminisha sana kwenye connection hata usaili mtafanya ovyo hususani fani kwa kuamini connection we kapige usaili wako vizuri then sikilizia pdf ukipata shukuru ukikosa pia shukuru.Mwaka jana kuna watu mbona walipata bila connection??? Vijana mna mteru sana
Ukapigwa Head ShotKabisaaa... Mimi mwaka jana jina lilivotoka uhamiaji kwa ajili ya usaili nikahisi ndo nishatusuaaa uhamiajii!!!! Mama yaanguu ilivotoka hiyo pdf ya pili sasa daaahh[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini kilitokea boss, ili tukae attention kuyapokea na nafasi zilikuwa ngp na mliitwa wangpKabisaaa... Mimi mwaka jana jina lilivotoka uhamiaji kwa ajili ya usaili nikahisi ndo nishatusuaaa uhamiajii!!!! Mama yaanguu ilivotoka hiyo pdf ya pili sasa daaahh[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar ina kambi 4 za jkt, mlalakua,kimbiji ,mbweni na mgulani sijui itakuaje huo usahiliNa kwa form four mara nyingi huchukua wale wa vikosini Sana Sana,kuna mikoa ina kambi za jkt hata mbili kama Tanga,kigoma mikoa hii kambi zao wanabebwa wengi Sana
Kwa Sababu kila kambi lazima kuondoke idadi kadhaa ya watu
Hiyo ni dar tu jkt, bado wale wakuletwa na wakuu[emoji3][emoji3][emoji3]Dar ina kambi 4 za jkt, mlalakua,kimbiji ,mbweni na mgulani sijui itakuaje huo usahili
DEA ndio nn hao mkuu?Watu wa Imani tunaamini kwenye wakati wa Mungu wewe usiwe na wasiwasi kama ni yako ni yako tu
Mimi sijaomba nasubiri TPDF tu na PCCB niliuliza kuhusu DEA bongo sjapewa lonja hadi sasa
Wa kuzuia madawa ya kulevyaDEA ndio nn hao mkuu?
sio kitengo cha polisi hicho mkuu?Wa kuzuia madawa ya kulevya
Ndo nmeuliza makamanda wanipe majibu sijapewa mana tunajua rushwa wanajitegemea kule visiwani kuna KMKMsio kitengo cha polisi hicho mkuu?
vitengo nyeti hvi kudili na heroin so poaNi DCEA mkuu. Huko wamejaa sana watu wa suti nyeusi