Unaamini sana kwenye godfather sana mkuu pambana mpaka tone lako la mwisho kapige vizuri usaili acha mambo yako ukikosa tambua haikua yako kama vipi kama unaamini sana hayo maswala haina haja ya kwenda kwenye usaili overMkuu kwa logic ya kawaida.
Sasa mkuu katika hizo nafasi 67 una Godfather wa kukupambania.?
Au ndio tuweke 'too much expectation' afu baadae tuwe disappointed.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri hizo ni kambi za malezi.Ktka hizo kambi kuna ambazo Zina recruit kuruta
Basi ndio maana ukiwa CCP kosa kidogo tu unarudishwa home ili waku replace.Mwaka huu wameweka degree programs 66 na kuna nyingine zinahitaji watu 1, 2 na professional nyingine zinagitaji zaidi ya 3 na kuendelea so kwenye kila professional kuna uhitaji wake kaka.
Sasa ukute Doctor wanahitajika 3 halafu Marine engineer 2, accountant 1, maybe lingustic 1 aisee ni bahatii tuu huku electrical engineer 2 huku civil engineer 2 halafu ukute compute 1 au IT master 1. Hapo wameomba watu zaidi ya 100 kwenye professional moja mfano computer au IT
Walikuwa ni malezi hao nadhaniNafikiri hizo ni kambi za malezi.
Kambi ya kimbiji intake iliayopita ya uhamiaji ilitoa watu wengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa boss nimekuelewa vizuri tu.Unaamini sana kwenye godfather sana mkuu pambana mpaka tone lako la mwisho kapige vizuri usaili acha mambo yako ukikosa tambua haikua yako kama vipi kama unaamini sana hayo maswala haina haja ya kwenda kwenye usaili over
Uko na panel yako ya kufanya analysis??😂Hapa kwa upande wangu ikitoka PDF,ndo nitapata picha nione interview itakuwaje kulingana na watu waliochaguliwa
Mwanangu humu watu tunapigana presha tu,mi. Niliulizwa swali kuwa ni mwaka huu tu polisi wameweka kigezo Cha JKT au hata 2021? Hili swali lipo kwenye pannel yangu ya analysis 😄Uko na panel yako ya kufanya analysis??😂
jkt ilikuepo muda mkuu. hta mwaka jana kigezo cha jkt kilitumikaMwanangu humu watu tunapigana presha tu,mi. Niliulizwa swali kuwa ni mwaka huu tu polisi wameweka kigezo Cha JKT au hata 2021? Hili swali lipo kwenye pannel yangu ya analysis 😄
Sio pw hvo kaka kuniombea mabaya mwenzioWe feli tu, hatuitani kwenye kuomba alaf unataka maombi yetu
Umeona mwamba eeh,huyu jamaa amkazingua snsio fresh kutoa kauli hzi kwa cc watafutaji
Amna banaa we pambana mzee, TRA sio?Sio pw hvo kaka kuniombea mabaya mwenzio
Hili nalo neno![emoji3][emoji3][emoji3]usitegemee sana mbanga huwa zinazidiana kete
Hpn mzeeAmna banaa we pambana mzee, TRA sio?
yaah mkuuUmeona mwamba eeh,huyu jamaa amkazingua sn
ulikua unapiga ya polisi?Hpn mzee
sio poa afsaHili nalo neno![emoji3][emoji3][emoji3]