Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

na kambi za malezi ndio zina service wengi kuliko kambi za mafuunzo ambazo zinakua na kuruta wengi kuliko maservice
Ndio ila Kwapind hik sidhan kma hata wapo wengi coz madogo walikuwa kozi c muda wamemaliza ajira zimetoka kiufup kipind cha nyuma ambacho ajira zilikuwa hazitoki za majeshi ndio walikuwa wengi ila siyo kipind hiki mkuu
 
Daaah wamepita Askari polisi na msururu wao na FFU apa mtaani kwangu na silaha zao kuonyesha kwamba wapo tayari kupambana na uhalifu utakaojotokeza siku ya leo ya mwaka mpya nimefurahi nikasema this time naenda mungu niangalie niende zangu CCP [emoji3578].
 
Ndio ila Kwapind hik sidhan kma hata wapo wengi coz madogo walikuwa kozi c muda wamemaliza ajira zimetoka kiufup kipind cha nyuma ambacho ajira zilikuwa hazitoki za majeshi ndio walikuwa wengi ila siyo kipind hiki mkuu
hahahaa ajira zimeondoka na op makao mkuu na op merelani ,em nikuibie ronja kidogo[emoji4] op makao waliingia 8000+ na walio rud nyumbani ni 2500+ Halafu hao op samia idadi yao had mimi naondoka ilikuwa ni 11000 ndio zamu yao sahiz
 
"Tutawapiga kama mbwa koko"

Gilles muroto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaa ajira zimeondoka na op makao mkuu na op merelani ,em nikuibie ronja kidogo[emoji4] op makao waliingia 8000+ na walio rud nyumbani ni 2500+ Halafu hao op samia idadi yao had mimi naondoka ilikuwa ni 11000 ndio zamu yao sahiz
Hayo ni mawazo yako mkuu ila ulichoandika na ukweli tofaut Kabisa [emoji28][emoji28]
 
hahahaa ajira zimeondoka na op makao mkuu na op merelani ,em nikuibie ronja kidogo[emoji4] op makao waliingia 8000+ na walio rud nyumbani ni 2500+ Halafu hao op samia idadi yao had mimi naondoka ilikuwa ni 11000 ndio zamu yao sahiz
Kwaiyo unataka kusemaje mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…