southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
na kambi za malezi ndio zina service wengi kuliko kambi za mafuunzo ambazo zinakua na kuruta wengi kuliko maserviceWalikuwa ni malezi hao nadhani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kambi za malezi ndio zina service wengi kuliko kambi za mafuunzo ambazo zinakua na kuruta wengi kuliko maserviceWalikuwa ni malezi hao nadhani
Duuuuuh!!!!na kambi za malezi ndio zina service wengi kuliko kambi za mafuunzo ambazo zinakua na kuruta wengi kuliko maservice
Ndio ila Kwapind hik sidhan kma hata wapo wengi coz madogo walikuwa kozi c muda wamemaliza ajira zimetoka kiufup kipind cha nyuma ambacho ajira zilikuwa hazitoki za majeshi ndio walikuwa wengi ila siyo kipind hiki mkuuna kambi za malezi ndio zina service wengi kuliko kambi za mafuunzo ambazo zinakua na kuruta wengi kuliko maservice
Sio mbaya watu 97 kwa watu 600 is like uwiano wa 1:6, yaani katika watu watu sita au saba ya waliofanya usaili..mmoja anachaguliwa provided that connection is neglectedKweli kabsa selected walikuwa 97 Degree holders out of 600 na zaidi waliofanya usaili mwaka jana.
Hahahahah kiufup bahati ndio kila kituusitegemee sana mbanga huwa zinazidiana kete
Provided that....Kumbe polisi nao ni PSRS iliochangamka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sio mbaya watu 97 kwa watu 600 is like uwiano wa 1:6, yaani katika watu watu sita au saba ya waliofanya usaili..mmoja anachaguliwa provided that connection is neglected
Doria za mwaka mpyaDaaah wamepita Askari polisi na msururu wao na FFU apa mtaani kwangu na silaha zao kuonyesha kwamba wapo tayari kupambana na uhalifu utakaojotokeza siku ya leo ya mwaka mpya nimefurahi nikasema this time naenda mungu niangalie niende zangu CCP [emoji3578].
hahahaa ajira zimeondoka na op makao mkuu na op merelani ,em nikuibie ronja kidogo[emoji4] op makao waliingia 8000+ na walio rud nyumbani ni 2500+ Halafu hao op samia idadi yao had mimi naondoka ilikuwa ni 11000 ndio zamu yao sahizNdio ila Kwapind hik sidhan kma hata wapo wengi coz madogo walikuwa kozi c muda wamemaliza ajira zimetoka kiufup kipind cha nyuma ambacho ajira zilikuwa hazitoki za majeshi ndio walikuwa wengi ila siyo kipind hiki mkuu
Unataka kusemaje ndugu?hahahaa ajira zimeondoka na op makao mkuu na op merelani ,em nikuibie ronja kidogo[emoji4] op makao waliingia 8000+ na walio rud nyumbani ni 2500+ Halafu hao op samia idadi yao had mimi naondoka ilikuwa ni 11000 ndio zamu yao sahiz
"Tutawapiga kama mbwa koko"Daaah wamepita Askari polisi na msururu wao na FFU apa mtaani kwangu na silaha zao kuonyesha kwamba wapo tayari kupambana na uhalifu utakaojotokeza siku ya leo ya mwaka mpya nimefurahi nikasema this time naenda mungu niangalie niende zangu CCP [emoji3578].
sina usemi mkuuWazee
Unataka kusemaje ndugu?
Hayo ni mawazo yako mkuu ila ulichoandika na ukweli tofaut Kabisa [emoji28][emoji28]hahahaa ajira zimeondoka na op makao mkuu na op merelani ,em nikuibie ronja kidogo[emoji4] op makao waliingia 8000+ na walio rud nyumbani ni 2500+ Halafu hao op samia idadi yao had mimi naondoka ilikuwa ni 11000 ndio zamu yao sahiz
ukweli ni upi mkuuHayo ni mawazo yako mkuu ila ulichoandika na ukweli tofaut Kabisa [emoji28][emoji28]
Kwaiyo unataka kusemaje mkuuhahahaa ajira zimeondoka na op makao mkuu na op merelani ,em nikuibie ronja kidogo[emoji4] op makao waliingia 8000+ na walio rud nyumbani ni 2500+ Halafu hao op samia idadi yao had mimi naondoka ilikuwa ni 11000 ndio zamu yao sahiz
Tupate izo Ajira tuanze kulalamika mishahara sasa[/QUOT Cha msingi n kupata kazi