southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
af me sishabikii kitu humu wala sitoagi mtazamo wowote ule wala siwezi sema nani anaweza kwenda na nani awezi tatizo mnapenda kubishana me nimetoa tuu idadi ya watu basiKwaiyo unataka kusemaje mkuu
jamaa wanapenda ubishani hata ukitoa taarifa hata ronja wanataka kubishanawatu watazichapa kisa mitazamo tofauti ya pdf hapaa
watu wnataka lonja nyeti si unajua kitaa kinawaka motojamaa wanapenda ubishani hata ukitoa taarifa hata ronja wanataka kubishana
Tunasubir mwakaleo uzi umepoaa
Lindeni damu, epuka ajali zinazoepukika.Tunasubir mwaka
Happy new year mtafutajiHappy new year team watafutaji
Sawa mkuuLindeni damu, epuka ajali zinazoepukika.
Hvi hawa huwa ni polisi mweli au wanavaa tu gwanda za polisi make naona wana beji ya special forceKinajitegemea hiki hakipo ndani ya polisi
Wanaweza kuchukuliwa kwenye majeshi mbalimbali for specific missions. Kama Huyo jamaa ni polisi (FFU) but ni part pia ya TSFHvi hawa huwa ni polisi mweli au wanavaa tu gwanda za polisi make naona wana beji ya special forceView attachment 2465170
Nimekupata mkuu,nadhani posho zao pia zinaongezeka hawaWanaweza kuchukuliwa kwenye majeshi mbalimbali for specific missions. Kama Huyo jamaa ni polisi (FFU) but ni part pia ya TSF
Nimekupata mkuu,nadhani posho zao pia zinaongezekaWanaweza kuchukuliwa kwenye majeshi mbalimbali for specific missions. Kama Huyo jamaa ni polisi (FFU) but ni part pia ya TSF
MuhimuNimekupata mkuu,nadhani posho zao pia zinaongezeka
Wanaweza kuchukuliwa kwenye majeshi mbalimbali for specific missions. Kama Huyo jamaa ni polisi (FFU) but ni part pia ya TSkwa iyo
Kwa iyo wao wakimaliza kozi ya FFU wanaenda tena 92 kupiga kozi auWanaweza kuchukuliwa kwenye majeshi mbalimbali for specific missions. Kama Huyo jamaa ni polisi (FFU) but ni part pia ya TSF
Mkuu samahani hivi kwenye intake yenu watu wasiopitia Jkt waliitwa?Lindeni damu, epuka ajali zinazoepukika.
Nakujibu PMMkuu samahani hivi kwenye intake yenu watu wasiopitia Jkt waliitwa?