Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiri tarehe tu ya PDF Insh allah. Manake Januari ndo hiii sasaHaya, kama nilivyosema.. kama una mbanga jipendekeze kwa nguvu zote, 'Wale watu'.... Mupe muruke imeshaanza!!! Mwezi huu hauishi.!!
Hapana mkuuMkuu unamfahamu afande wambura?
Posho zipo mzeeMaafandeeeee!
Naomba kuuliza kwamba wakati wa kozi ya ajira iwe wizara ya mambo ya ndani au nje huwa kuna posho? ..kama kule JKT za 50k pamoja na makato unapata 25k [emoji23]......na kama posho ipo je ni kiasi gani ? Tujue mapema ili tusipambanie sana vijogoo uko messi
Shingap MkuuPosho zipo mzee
Basi apo Unyama sana
Kwa Chet cha form 4 ipo hivyo ila kwenye fani asilimia karibu 90 ni mujibuPoint hii and JKT mujibu wa sheria nafasi naonaga kama kipaumbele cha kwanza n wale wa kujitolea especially walio makambini au mambo yakoje sahv wakuu
Pitia juu huko,mbna hii mada ishaezungumzwa majibu utayapata huko juuMaafandeeeee!
Naomba kuuliza kwamba wakati wa kozi ya ajira iwe wizara ya mambo ya ndani au nje huwa kuna posho? ..kama kule JKT za 50k pamoja na makato unapata 25k [emoji23]......na kama posho ipo je ni kiasi gani ? Tujue mapema ili tusipambanie sana vijogoo uko messi
Majibu yapo juu huko mzee babaShingap Mkuu
Mkuu... taarifa hii ni wale watu wanaotafuta kitenge!![emoji23][emoji23]Tunasubiri tarehe tu ya PDF Insh allah. Manake Januari ndo hiii sasa
Ahahaa ..Mkuu... taarifa hii ni wale watu wanaotafuta kitenge!![emoji23][emoji23]
Minimum 50k....haizidi 90kMaafandeeeee!
Naomba kuuliza kwamba wakati wa kozi ya ajira iwe wizara ya mambo ya ndani au nje huwa kuna posho? ..kama kule JKT za 50k pamoja na makato unapata 25k 😂......na kama posho ipo je ni kiasi gani ? Tujue mapema ili tusipambanie sana vijogoo uko messi
Hali ni mbaya baba kantuma kibaoleo sikuwa hewani coz ya harakati ya kuangaikia msosi. kuhusu pdf wazee competetion ni kubwa sana. tuzidi kumtegemea MUNGU. mbanga zinavutana sana saizi wenye mibuyu minene na sifa ndio watatokea pdf. other wise litakufa jitu kwa stroke
Lonja yangu hii nawapa wakuu
hizii ni za ndaani kabisaHali ni mbaya baba kantuma kibao
Mhhhh nishapata jibu kwa hilo swali langu hapo juuhizii ni za ndaani kabisa
betting mkuuKuna rafik hajaombea fani ila katuma maombi makao makuu kwa ile barua pepe ila fani yake haipo sehemu ya fani kiambatanisho B hajajaza hii imekaaje anaeza itwa huyu mwanangu ???au Ndio bahati nasibu
Toa huyu weka huyu,hapana ongeza huyu yule mtoe haraka Sanahizii ni za ndaani kabisa