Kila kambi ina malezi mkuu isipokuwa zipo kambi ambazo zenyewe ni kwa ajili ya malezi pekee hazifanyishi kozi Kama hizo kambi za Dar es Salaam kimbiji,mgulani na mbweni ambazo hizi hupokea vijana waliohitimu mafunzo kutoka vikosi mbalimbali Kama mgao kuongeza nguvu kazi na hizo kambi za mafunzo huwa wanapunguzwa wachache kwenda kambi hizo za malezi ambazo hazina mafunzo lakini baada ya kozi wanabaki wanabaki kwenye malezi Kama ambao wameondoka kwenda kwenye kambi za malezi na majukumu yanakuwani yaleyale isipokuwa vikosi vingi vya malezi kazi za shamba ni kiasi kidogo sana