Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

leo sikuwa hewani coz ya harakati ya kuangaikia msosi. kuhusu pdf wazee competetion ni kubwa sana. tuzidi kumtegemea MUNGU. mbanga zinavutana sana saizi wenye mibuyu minene na sifa ndio watatokea pdf. other wise litakufa jitu kwa stroke

Lonja yangu hii nawapa wakuu
Mwenye kisu kikali ndio mla nyama
 
leo sikuwa hewani coz ya harakati ya kuangaikia msosi. kuhusu pdf wazee competetion ni kubwa sana. tuzidi kumtegemea MUNGU. mbanga zinavutana sana saizi wenye mibuyu minene na sifa ndio watatokea pdf. other wise litakufa jitu kwa stroke

Lonja yangu hii nawapa wakuu
Mnatutisha wadau siwafichi...roho zpo juu juu
 
na kambi za malezi ndio zina service wengi kuliko kambi za mafuunzo ambazo zinakua na kuruta wengi kuliko maservice
Kila kambi ina malezi mkuu isipokuwa zipo kambi ambazo zenyewe ni kwa ajili ya malezi pekee hazifanyishi kozi Kama hizo kambi za Dar es Salaam kimbiji,mgulani na mbweni ambazo hizi hupokea vijana waliohitimu mafunzo kutoka vikosi mbalimbali Kama mgao kuongeza nguvu kazi na hizo kambi za mafunzo huwa wanapunguzwa wachache kwenda kambi hizo za malezi ambazo hazina mafunzo lakini baada ya kozi wanabaki wanabaki kwenye malezi Kama ambao wameondoka kwenda kwenye kambi za malezi na majukumu yanakuwani yaleyale isipokuwa vikosi vingi vya malezi kazi za shamba ni kiasi kidogo sana
 
hahahaa ajira zimeondoka na op makao mkuu na op merelani ,em nikuibie ronja kidogo[emoji4] op makao waliingia 8000+ na walio rud nyumbani ni 2500+ Halafu hao op samia idadi yao had mimi naondoka ilikuwa ni 11000 ndio zamu yao sahiz
Hii ni uongo bwana

Aisehe hii sii kweli Kama Kuna mtu amekupa amekupotosha ni uongo Kama ni wewe data zako si za kweli mkuu kwa Mjax kabisa Kama Mjax haiwezi make sense.
 
Kila kambi ina malezi mkuu isipokuwa zipo kambi ambazo zenyewe ni kwa ajili ya malezi pekee hazifanyishi kozi Kama hizo kambi za Dar es Salaam kimbiji,mgulani na mbweni ambazo hizi hupokea vijana waliohitimu mafunzo kutoka vikosi mbalimbali Kama mgao kuongeza nguvu kazi na hizo kambi za mafunzo huwa wanapunguzwa wachache kwenda kambi hizo za malezi ambazo hazina mafunzo lakini baada ya kozi wanabaki wanabaki kwenye malezi Kama ambao wameondoka kwenda kwenye kambi za malezi na majukumu yanakuwani yaleyale isipokuwa vikosi vingi vya malezi kazi za shamba ni kiasi kidogo sana
Hauijui Chita mkuu... Kule ni balaa kwa mashamba ya mpunga.!!

Itende pia ni malezi tuu.!!
 
Back
Top Bottom