Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Maafandeeeee!
Naomba kuuliza kwamba wakati wa kozi ya ajira iwe wizara ya mambo ya ndani au nje huwa kuna posho? ..kama kule JKT za 50k pamoja na makato unapata 25k 😂......na kama posho ipo je ni kiasi gani ? Tujue mapema ili tusipambanie sana vijogoo uko messi
 
Maafandeeeee!
Naomba kuuliza kwamba wakati wa kozi ya ajira iwe wizara ya mambo ya ndani au nje huwa kuna posho? ..kama kule JKT za 50k pamoja na makato unapata 25k [emoji23]......na kama posho ipo je ni kiasi gani ? Tujue mapema ili tusipambanie sana vijogoo uko messi
Posho zipo mzee
 
Pitia juu huko,mbna hii mada ishaezungumzwa majibu utayapata huko juu
 
Maafandeeeee!
Naomba kuuliza kwamba wakati wa kozi ya ajira iwe wizara ya mambo ya ndani au nje huwa kuna posho? ..kama kule JKT za 50k pamoja na makato unapata 25k 😂......na kama posho ipo je ni kiasi gani ? Tujue mapema ili tusipambanie sana vijogoo uko messi
Minimum 50k....haizidi 90k
 
leo sikuwa hewani coz ya harakati ya kuangaikia msosi. kuhusu pdf wazee competetion ni kubwa sana. tuzidi kumtegemea MUNGU. mbanga zinavutana sana saizi wenye mibuyu minene na sifa ndio watatokea pdf. other wise litakufa jitu kwa stroke

Lonja yangu hii nawapa wakuu
 
Hali ni mbaya baba kantuma kibao
 
Kuna rafik hajaombea fani ila katuma maombi makao makuu kwa ile barua pepe ila fani yake haipo sehemu ya fani kiambatanisho B hajajaza hii imekaaje anaeza itwa huyu mwanangu ???au Ndio bahati nasibu
 
betti

betting mkuu
 
Back
Top Bottom