MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Hii ni PT na UT au both team to score?leo sikuwa hewani coz ya harakati ya kuangaikia msosi. kuhusu pdf wazee competetion ni kubwa sana. tuzidi kumtegemea MUNGU. mbanga zinavutana sana saizi wenye mibuyu minene na sifa ndio watatokea pdf. other wise litakufa jitu kwa stroke
Lonja yangu hii nawapa wakuu
UTHii ni PT na UT au both team to score?
Muhindi hafai, ukiwa jobless na hujawahi jaribu kubet we mwamba.Wakuu leteni lonja za PT betting itaniua aisee
UT inaonekana ni keki.
Cheatar sawa Kuna mashamba ila nimezungumzia vikosi vya Dar Kama mbweni, cu na mgulani mashamba kwenye vikosi vingi vya malezi si makubwa zaidi unakuta ni bustani tu za mbogamboga mkuu.Hauijui Chita mkuu... Kule ni balaa kwa mashamba ya mpunga.!!
Itende pia ni malezi tuu.!!
Ni Jamaa anafanya ikulu kweli au ndo mission townNimemuona jamaa wa ikulu humu na yeye yumo anawachora
Ni mtu wa ikulu kweli ila ana njaa SaanaNi Jamaa anafanya ikulu kweli au ndo mission town
Red beret ni FFU na Black beret ni polisi wa kawaidaPolisi red ballet kofia ni akina nani wale maana Kuna black ballet kofia
Duh Hadi ikulu Kuna watu njaaNi mtu wa ikulu kweli ila ana njaa Saana
Ndio huyo sasaDuh Hadi ikulu Kuna watu njaa
Dah mwangu huu usaili nilitemwa live afu ilikuwa haitaki ata connection yyt mwenye sifa na achukuliwe chap,walikuwa wanataja tu sifa flan kama hauna unapungua mwenyew mpk wakamaliza wakabaki na wenye vigezo vyoteJW Kama unatokea mtaani aisee ni hatari sana kwa afya kama hauna nguvu nyuma yako vinginevyo siku yako tu iwe imefika ila hivi hivi sio poa.
Ili kupenya katika ule usahili nyuma yako inatakiwa nguvu kubwa.
Wakati nipo JKT kuna jamaa nilikua nimezoeana naye maana tulikua tupo Coy moja na Platoon moja.
Kumbe mshikaji mzee wake alikua kitengo JW.
Sasa ikawa bado kama mwezi hivi kozi yetu ya kwa mujibu iwe imetamatika ghafla jamaa akapigiwa simu na mzee wake kua anatakiwa aende kambi ya Itaka kwa maana itakua ni moja ya kambi ambazo watachukua watu wa kwenda kupiga cadeth.
Kitu kilichonichosha ni kua maelekezo ya mshikaji kupelekwa Itaka,Mkuu wa kambi kashapewa maelekezo kila kitu na anatakiwa ahakikishe kua mshikaji anaenda itaka haraka iwezekanavyo.
Usiku wa ile siku ambayo mchizi alioongeana mshua wake.
Tukiwa tumefoleni kama kawaida kwa ajili ya madoso akaja mkuu wa kambi akamuulizia mshikaji kwa kutaja majina yake then akaniambia nifuate.
Baada ya hapo sikumuona tena jamaa mpaka kozi inaisha.[emoji28].
Hapo ndio nikaamini bongo Nyosso.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo angekuwa wa ikulu kweli angemchomeka jamaa jwtz tayar maana bogi lililipo msata saiv ni zaidi ya 2500+ mafunzo yamefunguliwa hata wiki mbili haijapita.Ni Jamaa anafanya ikulu kweli au ndo mission town
Askari 3000 Msata. Kama bogi lingine litakuja labda wapeleke kambi nyingineHuyo angekuwa wa ikulu kweli angemchomeka jamaa jwtz tayar maana bogi lililipo msata saiv ni zaidi ya 2500+ mafunzo yamefunguliwa hata wiki mbili haijapita.
omba mungu mkuuNa sisi wa darasa la saba nafsi hatupati