Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

leo sikuwa hewani coz ya harakati ya kuangaikia msosi. kuhusu pdf wazee competetion ni kubwa sana. tuzidi kumtegemea MUNGU. mbanga zinavutana sana saizi wenye mibuyu minene na sifa ndio watatokea pdf. other wise litakufa jitu kwa stroke

Lonja yangu hii nawapa wakuu
Hii ni PT na UT au both team to score?
 
kuna mzee alimtext sombobody x kuwa kuna nafasi mbili za polisi kama anavijana ampe majina(mkoani) yule mtu x akajibu ninao wawili ila mmoja hajapita JKT
yule mzee akajibu mlete huyo mmoja. huyu ambaye hana cheti cha JKT hata nikimpachika wakubwa watamchomoa na kumrejesha nyumbani.


Lonja ya PT kambi za mikoani nawapa hii wakuu
 
JW Kama unatokea mtaani aisee ni hatari sana kwa afya kama hauna nguvu nyuma yako vinginevyo siku yako tu iwe imefika ila hivi hivi sio poa.

Ili kupenya katika ule usahili nyuma yako inatakiwa nguvu kubwa.

Wakati nipo JKT kuna jamaa nilikua nimezoeana naye maana tulikua tupo Coy moja na Platoon moja.

Kumbe mshikaji mzee wake alikua kitengo JW.

Sasa ikawa bado kama mwezi hivi kozi yetu ya kwa mujibu iwe imetamatika ghafla jamaa akapigiwa simu na mzee wake kua anatakiwa aende kambi ya Itaka kwa maana itakua ni moja ya kambi ambazo watachukua watu wa kwenda kupiga cadeth.

Kitu kilichonichosha ni kua maelekezo ya mshikaji kupelekwa Itaka,Mkuu wa kambi kashapewa maelekezo kila kitu na anatakiwa ahakikishe kua mshikaji anaenda itaka haraka iwezekanavyo.

Usiku wa ile siku ambayo mchizi alioongeana mshua wake.

Tukiwa tumefoleni kama kawaida kwa ajili ya madoso akaja mkuu wa kambi akamuulizia mshikaji kwa kutaja majina yake then akaniambia nifuate.

Baada ya hapo sikumuona tena jamaa mpaka kozi inaisha.[emoji28].

Hapo ndio nikaamini bongo Nyosso.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mwangu huu usaili nilitemwa live afu ilikuwa haitaki ata connection yyt mwenye sifa na achukuliwe chap,walikuwa wanataja tu sifa flan kama hauna unapungua mwenyew mpk wakamaliza wakabaki na wenye vigezo vyote
 
Huyo angekuwa wa ikulu kweli angemchomeka jamaa jwtz tayar maana bogi lililipo msata saiv ni zaidi ya 2500+ mafunzo yamefunguliwa hata wiki mbili haijapita.
Askari 3000 Msata. Kama bogi lingine litakuja labda wapeleke kambi nyingine
 
Back
Top Bottom