Mimi niliingia na form six, sasaivi nipo namalizia masomo yangu ya shahada ya uzamili kwa ruhusa kabisa ya masomo, hivyo usiogope mkuu ingia kwanzaMkuu,
Kwa professionals kupata muda wa kujiendeleza hali ikoje?.
Au muda mwingi ni majukumu tu.
Maana kuna mwanangu (sio professional) from Monday to Sunday yupo mzigoni tu.
Kama sio escort Basi atakua guard.
Wiki hii anakesha,wiki ile anaingia mchana either Mahakamani au Bank.
Sent using Jamii Forums mobile app
walisha ripoti bado kuanza tuu wanaweza kuanza mwezi huu naoKuna jamaa wa ikuru mwingine, nimekutana nae maeno anasema wazee wa kaunda soon wataingia coz nao
ana nyota tatu Hajaniambia kuchagua either kulipa kwa cheo au elimu
Ndio maana nawauliza wadau maana huku najua wataalamu mpo hii imeekaje ?
PDF nahisi kuanzia tarehe za mapinduzi na kuendelea ila uhamiaji wale jamaa hawachelewagi kumwaga mkeka
Hao wanao sema wako wiki ya pili msata, ni wale madaktari na maengineer , sasa most of them walikuwa na uraia mwingi na wengi wao hata jkt hawajakanyage, wanakula kozi ya mwezi mmoja au miwili msata kuwakata wenge la uraia na pia kozi yao ni ya maelekezo sana. Wakimaliza hapi ndio wanaingia TMA.Mkuu elewesha tu kwa faida ya wengine mbona kwa hizo za polisi na uhamiaji mnaeleweshana vizuri tu
course imeanza ndo ina karibia wiki sahizi ila wanaopiga ni wa millitary science ambao watapiga miezi miwili idadi yao kama 400 hivi, ila bogi la sombasomba halipo mbali ndio litakuwa na 2500+ pamoja na wale wa mafinga na wale waliotoka makutupora kwenye kibog cha madokta
Wengi wao wamepita jkt kwa mujibu ila ni muda mrefu. Nilivyofuatilia kutaka kupata nafasi swali la kwanza nililoulizwa ni kuwa "Umepita jkt? Kambi gani? Na mwaka gani? Na una umri gani?"Hao wanao sema wako wiki ya pili msata, ni wale madaktari na maengineer , sasa most of them walikuwa na uraia mwingi na wengi wao hata jkt hawajakanyage, wanakula kozi ya mwezi mmoja au miwili msata kuwakata wenge la uraia na pia kozi yao ni ya maelekezo sana. Wakimaliza hapi ndio wanaingia TMA.
Shukran kwa maelezo mkuuKama ni ASP nina uhakika 150% kuwa kwa sasa basic salary yake analipwa kulingana na cheo chake na sio elimu yake ingawa ataendelea kuchukua "proffesional allowance " yake kama kawaida nje ya mshahara wake .
Structure ya ulipaji ndani ya PT ni tofauti. That is all I can tell u. Do your research for ur own understanding.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimemuona jamaa wa ikulu humu na yeye yumo anawachora
Kutokaa kwao karibu na raia ndio kunawafanya heshima yao iwe juu zaidi. Mimi hawa jamaa nawaelewa sana kwenye kujali maslahi asee. Elimu inaheshimiwa sana kwa hawa jamaa.Jwtz inapendwa jamani
Na zile gwanda zao ni full respect kwanza ni nzuri
Ata ukiwa nanga muangujiashi lakini huku uraiani raia wanakuogopa sijui wanakuonaje ukiwa umevaa hii kasumba ipo mpka leo na itaendelea kuwepo
Kitaa mademu waliokukataa kipindi hicho ni saidia fundi na mshati wako ule ule unaopenda kurudia kuvaa miguu imepauka kwa cement wanaanza kujileta [emoji1787]
Wacha wadau wazidi kuipambania
Haya sasa mwageni lonja naona umepoa humu
Duh basi hawa jamaa watatuchanganya mpaka basi πππ kwa hiyo walioko msata ni kina nani mkuuNo sio kwl hao unaowasema walikua makutopora wakarudi dar wameripot TMA TAREHE 3/12/2022
Huku kaeni kwa kutulia tu kwa sasa michakato inaendelea. Subiri pdf tuWazee leteni lonja ya uhamiaji na Polisi,
Na wana maslahi mazuri sanaKutokaa kwao karibu na raia ndio kunawafanya heshima yao iwe juu zaidi. Mimi hawa jamaa nawaelewa sana kwenye kujali maslahi asee. Elimu inaheshimiwa sana kwa hawa jamaa.
Kaunda ndio soon wanatoa ila nafasi zilishajaa toka mwezi wa 10 mwaka jana imagine mpaka RPC mmoja mstaafu alimpa jamaa wa ikulu milioni 1 lkn amuingize mwanae chomboni lkn ikashindikanaKuna jamaa wa ikuru mwingine, nimekutana nae maeno anasema wazee wa kaunda soon wataingia coz nao
Mm napenda kisasiMbona atakuwa kikongwe huyo
Hongera sana boss.Mimi niliingia na form six, sasaivi nipo namalizia masomo yangu ya shahada ya uzamili kwa ruhusa kabisa ya masomo, hivyo usiogope mkuu ingia kwanza