Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mkuu,

Kwa professionals kupata muda wa kujiendeleza hali ikoje?.

Au muda mwingi ni majukumu tu.

Maana kuna mwanangu (sio professional) from Monday to Sunday yupo mzigoni tu.

Kama sio escort Basi atakua guard.

Wiki hii anakesha,wiki ile anaingia mchana either Mahakamani au Bank.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niliingia na form six, sasaivi nipo namalizia masomo yangu ya shahada ya uzamili kwa ruhusa kabisa ya masomo, hivyo usiogope mkuu ingia kwanza
 
Kama ni ASP nina uhakika 150% kuwa kwa sasa basic salary yake analipwa kulingana na cheo chake na sio elimu yake ingawa ataendelea kuchukua "proffesional allowance " yake kama kawaida nje ya mshahara wake .

Structure ya ulipaji ndani ya PT ni tofauti. That is all I can tell u. Do your research for ur own understanding.
ana nyota tatu Hajaniambia kuchagua either kulipa kwa cheo au elimu

Ndio maana nawauliza wadau maana huku najua wataalamu mpo hii imeekaje ?
 
Mkuu elewesha tu kwa faida ya wengine mbona kwa hizo za polisi na uhamiaji mnaeleweshana vizuri tu
Hao wanao sema wako wiki ya pili msata, ni wale madaktari na maengineer , sasa most of them walikuwa na uraia mwingi na wengi wao hata jkt hawajakanyage, wanakula kozi ya mwezi mmoja au miwili msata kuwakata wenge la uraia na pia kozi yao ni ya maelekezo sana. Wakimaliza hapi ndio wanaingia TMA.
 
Kwa uelewa wangu kwa sasahivi hao madaktari, mainjinia, na wataalamu wengine wapo ndani ya hiyo course pia baada ya hapo wataenda TMA
course imeanza ndo ina karibia wiki sahizi ila wanaopiga ni wa millitary science ambao watapiga miezi miwili idadi yao kama 400 hivi, ila bogi la sombasomba halipo mbali ndio litakuwa na 2500+ pamoja na wale wa mafinga na wale waliotoka makutupora kwenye kibog cha madokta
 
Hao wanao sema wako wiki ya pili msata, ni wale madaktari na maengineer , sasa most of them walikuwa na uraia mwingi na wengi wao hata jkt hawajakanyage, wanakula kozi ya mwezi mmoja au miwili msata kuwakata wenge la uraia na pia kozi yao ni ya maelekezo sana. Wakimaliza hapi ndio wanaingia TMA.
Wengi wao wamepita jkt kwa mujibu ila ni muda mrefu. Nilivyofuatilia kutaka kupata nafasi swali la kwanza nililoulizwa ni kuwa "Umepita jkt? Kambi gani? Na mwaka gani? Na una umri gani?"
Upo sahihi wakitoka hapo moja kwa moja TMA
 
Kama ni ASP nina uhakika 150% kuwa kwa sasa basic salary yake analipwa kulingana na cheo chake na sio elimu yake ingawa ataendelea kuchukua "proffesional allowance " yake kama kawaida nje ya mshahara wake .

Structure ya ulipaji ndani ya PT ni tofauti. That is all I can tell u. Do your research for ur own understanding.
Shukran kwa maelezo mkuu
 
Jwtz inapendwa jamani

Na zile gwanda zao ni full respect kwanza ni nzuri

Ata ukiwa nanga muangujiashi lakini huku uraiani raia wanakuogopa sijui wanakuonaje ukiwa umevaa hii kasumba ipo mpka leo na itaendelea kuwepo

Kitaa mademu waliokukataa kipindi hicho ni saidia fundi na mshati wako ule ule unaopenda kurudia kuvaa miguu imepauka kwa cement wanaanza kujileta [emoji1787]

Wacha wadau wazidi kuipambania

Haya sasa mwageni lonja naona umepoa humu
 
Kutokaa kwao karibu na raia ndio kunawafanya heshima yao iwe juu zaidi. Mimi hawa jamaa nawaelewa sana kwenye kujali maslahi asee. Elimu inaheshimiwa sana kwa hawa jamaa.
 
Kutokaa kwao karibu na raia ndio kunawafanya heshima yao iwe juu zaidi. Mimi hawa jamaa nawaelewa sana kwenye kujali maslahi asee. Elimu inaheshimiwa sana kwa hawa jamaa.
Na wana maslahi mazuri sana
 
Kuna jamaa wa ikuru mwingine, nimekutana nae maeno anasema wazee wa kaunda soon wataingia coz nao
Kaunda ndio soon wanatoa ila nafasi zilishajaa toka mwezi wa 10 mwaka jana imagine mpaka RPC mmoja mstaafu alimpa jamaa wa ikulu milioni 1 lkn amuingize mwanae chomboni lkn ikashindikana
 
Back
Top Bottom