mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Mwenye mlolongo wa vyeo vyote vya polisi ama UT. Kuanzia ngazi ya chini hadi ya juu kabisa ashushe madesa jamani ..Tuanzie hapa kwanza Maafande
Mwamba lazima aogope [emoji16]unatinga ligwanda jipya na mabaka baka baka yake chini umelinyonga limekukaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poti unaogopa kuibiwa kimwana?
daah mwanangu mungu atuone ,benchi la kitaa halivumilikiOya mkuu jana nililala na uji usiku daah
Niliona wa UT ila PT sijauona mkuurudia huu uzi kuna pgo ya polisi, na immigration act documents niliziweka
Mwizi mwenyewe atakuwa kashazeeka amsamehe tu [emoji16]kesi ya mwaka 70 daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara ya pili unarudia hii kaka,kwel imekuuma sn,t.v ya kichogo
Starehe zilizopitiliza kiasi cha kutokuchunga afya zao. Kna private tukiwa kakata Alikuw anatuhimiza sn tuzichunge afya ze2,hasa wenye ndoto ya kuingia jeshini. Lkn me naon afya ndio kla k2 hata km haun mpango na mambo ya majeshiUnahisi ni kwanini mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwamba lazima aogope [emoji16]unatinga ligwanda jipya na mabaka baka baka yake chini umelinyonga limekukaa
Lazima umuibie
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwizi mwenyewe atakuwa kashazeeka amsamehe tu [emoji16]kesi ya mwaka 70 daah
pgo hii hapaNiliona wa UT ila PT sijauona mkuu
Pamoja. Askari wangupgo hii hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]baka linakuwa bado bichi,macho mekundu kama umekula ngada, juu kipara bado kinachomachoma na sura zao nyeusiii ile moment kuna mwana aliingia karudi yaani anakuangalia kama hakuangalii vile macho yanataka kufunga hayafungi yaan fujo tu.Mwamba lazima aogope [emoji16]unatinga ligwanda jipya na mabaka baka baka yake chini umelinyonga limekukaa
Lazima umuibie
Hiyo ni kawaida. Mwaka jana walitangaza nafasi 470 lakini wakagraduate 800+Za chini chini , Uhamiaji wataongeza watu siyo tena 500 ya mwanzo
intake zilikua mbili tofauti mkuu.kuna post 350 za november 2021 walitaka waliofeli cha nne,then zikatoka post 470 january 2022 .kwa renji hii ya muda huenda walipiga kozi pamoja afsaHiyo ni kawaida. Mwaka jana walitangaza nafasi 470 lakini wakagraduate 800+
Ndugu una hakika luteni ana kula 2.3m kwa mwezi??? Mbona kama nyingi sanaatunafanana mzee ,mfano jwtz ukitaka upige side hustle ngumu sana muda mwingi ni kambini sana ,au umpe mtu mtaji na time yote akufanyie biashara. hata peyi yenyewe sio ndefu ukilinganisha cost patterns za nchi yetu kwa sasa . mfano luteni wa jeshi pamoja na benefits zote analamba 2.3M sasa hii ndio cash ya kukesha kambini muda wote mkuu??
yaah hio nipamoja na benefits zote mkuuNdugu una hakika luteni ana kula 2.3m kwa mwezi??? Mbona kama nyingi sanaa
Nzuri hyoUzi mzuri sana huu me naona tungekuwa tunadiscuss ish zote za majeshi yetu sio kubaguana mara wa TPDF waanzishe uzi wao hyo haipendezi makamanda.
NATAMANI WOTE TUINGIE CHOMBONI SIKU TUPATE PARTY YETU TUKIWA ENEO LA RAHA KWA PAMOJA.
Tutafute manzi moja tutulie na mahusiano yenye uaminifuWaambie kuna ukimwi na hili zimwi linatafuna Askari wetu wengi Sana
daah mwanangu mungu atuone ,benchi la kitaa halivumiliki
Daaaah kaka acha tudaah mwanangu mungu atuone ,benchi la kitaa halivumiliki