Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Yan hakn somo ambalo nililielewa nikiwa jakata km Ranks and Insignia of TPDF. Miaka imekata lkn siwezi kusahau hata kdg.[emoji23][emoji23].napenda sn,mwny connection wadau nizame jw
 
Mwamba lazima aogope [emoji16]unatinga ligwanda jipya na mabaka baka baka yake chini umelinyonga limekukaa

Lazima umuibie
[emoji23][emoji23][emoji23]baka linakuwa bado bichi,macho mekundu kama umekula ngada, juu kipara bado kinachomachoma na sura zao nyeusiii ile moment kuna mwana aliingia karudi yaani anakuangalia kama hakuangalii vile macho yanataka kufunga hayafungi yaan fujo tu.
 
Hiyo ni kawaida. Mwaka jana walitangaza nafasi 470 lakini wakagraduate 800+
intake zilikua mbili tofauti mkuu.kuna post 350 za november 2021 walitaka waliofeli cha nne,then zikatoka post 470 january 2022 .kwa renji hii ya muda huenda walipiga kozi pamoja afsa
 
tunafanana mzee ,mfano jwtz ukitaka upige side hustle ngumu sana muda mwingi ni kambini sana ,au umpe mtu mtaji na time yote akufanyie biashara. hata peyi yenyewe sio ndefu ukilinganisha cost patterns za nchi yetu kwa sasa . mfano luteni wa jeshi pamoja na benefits zote analamba 2.3M sasa hii ndio cash ya kukesha kambini muda wote mkuu??
Ndugu una hakika luteni ana kula 2.3m kwa mwezi??? Mbona kama nyingi sanaa
 
Back
Top Bottom