Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Waliopinga kuwa kuanzia Tarehe 2 usaili PT mikoani unaanza wako wapi...!!!??

Watu wangu wa Mbya mjipe moyo mtatoboa salama hadi Ijumaa hii usaili utakapomalizika!!

Kuanzia next week, pdf la wasomi litaangushwa muda wowote !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…