Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hao ni Uhamiaji au Polisi, au wote?
 
Sawa sawa mkuu
 

Na hao ni wenye vyeti vya jkt je ambao hawana wapo mtaani hawajaomba watakuwa wangapi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mambo huwa yapo tight sana
 
Kuna shemeji yangu ni kitengo haswa time nimemaliza form four nilimwambia anifanyie connection niingie PT anazingua

Siku mmoja night akanita nikaenda nae kwa RPC nikaambiwa kuna nafasi moja ya magerza kesho yake asubuhi nijiandae nikalipoti kikosini

Nikarudi home nikamwambia sister kuhusu hiyo nafasi sister akawasha moto wa laki tatu (nadhani hata usiku hakumpa mbususu shemeji)

Asubuhi yake matokeo ya form four yakatoka nina devision one ya 9 (shemeji alikuwa anajua mm ni kilaza maana miaka hiyo hiyo anamfukuzia sister mm ndio alikuwa ananipa shilingi kumi naenda kumwita sister alafu hiyo shilingi kumi ninanunua jojo gorori kumia au pipi kidonge kumi na some time nilikuwa ninanunua pemba(udongo))

So after matokeo shemeji akakataa nisiende advance nikaenda chukua diploma after kumaliza akanipeleka home kwa fisadi mmoja ambae sasa ni marehemu(Mungu ailaze roho yake panapostahili) nikapewa connection ya TPA

so sometime ndugu zetu wanatubania sababu hawatuamini au wanatutafutia sehemu nzuri zaidi kama shemeji yangu japo mm lengo langu ni kuwa PT ili nimkamate jambazi eliyetuibia t.v. yetu ya kichogo mwaka 1979

Note
•Alitaka anifiche magereza bila cheti chochote akiamini mm ni kilaza
•After kunyimwa mbususu na kuamini nina akili akinitafutia gape zuri japo silipendi
 
story teller ulieiva mkuu
 
Mzee wa ikulu fanya mapekeche bhas kijana wako zege linaniua asee
 
Mkuu unachoongea kina ukweli Lakin kuna vitu ni talent sasa mimi ata group discussion yenyewe nlichokuwa naongea hakieleweki ndo ntaweza kukalisha darasa zima linisikilize na kunielewa kweli???
 
Dah kuna sehemu wameniita nijitolee kwa mwaka mzima kwanza huku wakinilipa 650k ndio wanipe kazi kamili..dah njaa hizi unaweza ukakubali afu nafasi zingine za maana zitokee zikupite [emoji23]
Hivi hyo 650k ni laki sita na hamsini au elfu 65? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu unachoongea kina ukweli Lakin kuna vitu ni talent sasa mimi ata group discussion yenyewe nlichokuwa naongea hakieleweki ndo ntaweza kukalisha darasa zima linisikilize na kunielewa kweli???
Hapo kwenye talent ndio issues ilipo labda kwa mawazo yake yeye anaona ualimu ni kazi ambayo haina changamoto saana

Nakumbuka baada ya lile shambulio la askari wa JW kuuwawa DRC mtaani kwetu kuna luten kanal alikuwa kaingiza vijana wanne wa pale mtaani JKT sasa wamama wa hao watoto wakaenda kumdai Luten kanal awarudishe watoto wao [emoji23][emoji23]

Na wakawa hawamsemeshi kabisa hata mke wa luten kanal but now wote watatu wamejengewa nyumba na hao watoto wao ...likitokeaga tukio pale kwa luten wale wamama ndio wanakuwa wa kwanza kutoa msaada


Huwa wanaenda kupalilia majani na kumlimia (hivi vishamba vya mjini)
 
Duuuh nimepata k2 aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…