MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Hivi kuanzia ma SP wanakunja ngapi mkuu ?Njoo PT kijana . Kwa kada yako unakunja si chini ya 2m baada ya makato. Unawapiga gap hata mainspector wenye degree zingine ila cheo ndio utasubiri.
Ila ukipata JWTZ mabegani na mpunga vinaenda pamoja.
sawa mkuu. vp za finance na uchumi?Degree za kada ya afya ndio zinaongoza kwa pesa ndani ya PT. Madaktari, manurse, wafamasia, physiotherapist etc. Mshahara wao ukiongeza na posho zao zote zikilipwa unagusa 2m+. Inspector mwenye degree ya kawaida tofauti na afua hafiki huku.
Ni mwanaume babaKwa hiki kimo kama ni mwanaume omba Mungu watakaokuwa wanafanya screening on the first day wakuonee huruma. Kwa wadada sio issue sana unless una mbanga.
Labda asiseme kama alikuwa muijibuJakata ya wapi inamchukua mujibu kupiga kozi ya volunteer? Unabust kozi poti? Watakwambia vyeti ivo ni sawa na ni kweli wanaviweka uzito Sawa (mujibu na kujitolea)
Kaka tumeshaongea naelewa huu mwezi kitaeleweka .Mitego yote ya uraiani au UT na JW ikibuma nitapambania huko PT nitavamia hata course π . Ila Mungu mwema mwanga nauona nazidisha maombi. God will open doorsNjoo PT kijana . Kwa kada yako unakunja si chini ya 2m baada ya makato. Unawapiga gap hata mainspector wenye degree zingine ila cheo ndio utasubiri.
Ila ukipata JWTZ mabegani na mpunga vinaenda pamoja.
Maombi si yameshqfungwa mkuu. Huko ccp unaenda bila maombi . Unless u have someone nyuma yako.Labda asiseme kama alikuwa muijibu
Sema sahivi wapo wiki Kama ya tano hivi mda si mrefu watasomewa force number asubiri mwakani
Hivi kama una banga ukipata force number kwa walio makambini mda huu si ccp unaenda chap ? Au inakuwaje ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pambana.Ni mwanaume baba
860k - 900k basic salary inarange haposawa mkuu. vp za finance na uchumi?
Diploma za afya nao wanapata sawa na degree zingine kwa basic salary.860k - 900k basic salary inarange hapo
Sio hela ya kutisha sana mkuu but I can't disclose in public what gazette officers earn
Cjui kwa undani zaidi wala sijui iwe na uhusiano isiwe na uhusiano ila hiyo ni lonja ya ukweli.ijaongea mimiCCP kuna police science na course za ICT tu. Police science na masomo ya advance ya science hakuna uhusiano.Labda kama plan yao ni kuwasomesha mambo ya forensics huko mbeleni maana hata wale waliokuw na ufaulu mzuri wa masomo ya sayansi form four waliingizwa forensic bureau
form six wa tpdf ananiacha karibia marambili degree holder wa social science PT!! doh hatarii860k - 900k basic salary inarange hapo
Pamoja sana mkuu. Lengo ni kuendelea kukumbushana kila wakatiUzi wako ule natembea nao kichwani kaka.
Very much true so sishangai Mr Banks anavyotafuta mibanga ya JWππππ ila PT as long as utakuw kitaan basi ufanye juhudi zako binafsiform six wa tpdf ananiacha karibia marambili degree holder wa social science PT!! doh hatarii
Kingine tusikariri Mambo yanabadilika kila siku hasa baada ya Dunia ya utandawazi na sayansiCCP kuna police science na course za ICT tu. Police science na masomo ya advance ya science hakuna uhusiano.Labda kama plan yao ni kuwasomesha mambo ya forensics huko mbeleni maana hata wale waliokuw na ufaulu mzuri wa masomo ya sayansi form four waliingizwa forensic bureau
Ni kweliKingine tusikariri Mambo yanabadilika kila siku hasa baada ya Dunia ya utandawazi na sayansi
Mkuu chukua mmoja humu ndani,tuondoke kitaa tukawe watumishi mkuuNikiwaambia mtaona nawachawia mm mbanga nnao wa PT ndo mana sjaomba mna nikiomba lazima niende tena ni medic mimi nasubiri mtipidii ukigoma huo December mwakaa huu tukutane CcP
Kusaidiana tunasaidiana mkuu ila kwa sasa wote tupo nje ya chombo kakaMkuu chukua mmoja humu ndani,tuondoke kitaa tukawe watumishi mkuu
Diploma za afya huwa basic salary ngapi kwa PTDiploma za afya nao wanapata sawa na degree zingine kwa basic salary.