Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hakika mkuu Kuna ambush za majambazi kupambana nao ,huko majeshi mengine bado Kuna ishu za kupambana na waasi huko kongo shida mzeee wangu
 
Oljoro hiyo mzeeee wahuni walivamia aseeeee
Anhaa ,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€pale lazima wakusulubu nimepita ile kambi kwa kozi ya JKT mujibu , bonge la kambi ,full maovyo ovyo ,kama nawaona vile walivyokuwa wanaburuzwa kwa doso kwenye lile vumbi kama Poda πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Tizi ni muhimu mkuu, hata kwenye maisha ya kawaida


Swali langu ilikua ni nature ya kozi za UT na PT zipo sawa au vipi? Maana kuna mwaka UT walikua wanapiga kozi pamoja na PT pale CCP
Ilikuwa 2015/16 ndo mwisho wa UT kudandia chuo cha CCP mafunzo. Hivi sasa UT wana chuo chao Tanga hawapigi tena kozi TPS(CCP)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…