Mwakani tena mwaka huu watatoa kujitoleaLabda asiseme kama alikuwa muijibu
Sema sahivi wapo wiki Kama ya tano hivi mda si mrefu watasomewa force number asubiri mwakani
Hivi kama una banga ukipata force number kwa walio makambini mda huu si ccp unaenda chap ? Au inakuwaje ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app