Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kaka usiache kuwaambia vijana hizi kazi zina changamoto kubwa sana kuliko tunavyofikiria..kwahyo watu msizame chomboni kwa kigezo cha mshahara utaenda kujuta baada ya miaka kadhaa

Uaskari sio kuvaa uniform ni kazi ya kujitoa na kupambana kweli kweli
Tufungue mioyo yetu kwa asilimia zote ..kazi usipoipenda ni kazi kweli kweli
Hakika mkuu Kuna ambush za majambazi kupambana nao ,huko majeshi mengine bado Kuna ishu za kupambana na waasi huko kongo shida mzeee wangu
 
Oljoro hiyo mzeeee wahuni walivamia aseeeee
Anhaa ,😀😀😀😀😀pale lazima wakusulubu nimepita ile kambi kwa kozi ya JKT mujibu , bonge la kambi ,full maovyo ovyo ,kama nawaona vile walivyokuwa wanaburuzwa kwa doso kwenye lile vumbi kama Poda 😀😀😀😀🙈🙈🙈
 
Tizi ni muhimu mkuu, hata kwenye maisha ya kawaida


Swali langu ilikua ni nature ya kozi za UT na PT zipo sawa au vipi? Maana kuna mwaka UT walikua wanapiga kozi pamoja na PT pale CCP
Ilikuwa 2015/16 ndo mwisho wa UT kudandia chuo cha CCP mafunzo. Hivi sasa UT wana chuo chao Tanga hawapigi tena kozi TPS(CCP)
 
Back
Top Bottom