BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
WatarudiHivi PCCB wanarudi tena kuchukua watu mwaka huu , ? ,Vipi kuna mdau yeyote aliye apply mwaka jana au aliyehudhuria sahili zao hao jamaa ? , au mwenye lonja yoyote kuhusiana nao asogeze hapa
Kuna mwana mmoja yeye aliingia na degree anakunja M+, Form6 chini yake kidogo 700+ na Form4 chini ya 6Private mwenye form 6 ...salary ipo sawa na wa form 4 private
Io verification ya vyeti n uhamiaji tu.New updates kutoka kwa wahusika
1.Wasio kuwa na vyeti vya jkt/jku wanawekwa kando
2.Wale ambao hawajafanya verification ya vyeti mahakamani(hakimu/mwanasheria) pia kando
3.Ambao wamegoma kuambatanisha medical report pamoja na nambari ya NIDA kama walivyoitaji wao,kando
Vitu ambavyo watarushiwa watu vitaulo ni
1.kutoweka passport size
2.kutoweka leaving certificates
Nimeambiwa kunaeatu badala ya kuandika barua kwa mkono wao wametype ao nao wanaliwa vichwa
Tarehe rasmi ya kutoa majibu haijulikani mpaka sasa,so kama unamishe zako we kufanya
Hii ni kwa UT???New updates kutoka kwa wahusika

Ni vizur popote pale unapoapply kazi iwe serikalini au private wasilisha certified copies of ur academic and professional certificates + birth certificate.Io verification ya vyeti n uhamiaji tu.
Asnte kwa lonjaNew updates kutoka kwa wahusika
1.Wasio kuwa na vyeti vya jkt/jku wanawekwa kando
2.Wale ambao hawajafanya verification ya vyeti mahakamani(hakimu/mwanasheria) pia kando
3.Ambao wamegoma kuambatanisha medical report pamoja na nambari ya NIDA kama walivyoitaji wao,kando
Vitu ambavyo watarushiwa watu vitaulo ni
1.kutoweka passport size
2.kutoweka leaving certificates
Nimeambiwa kunaeatu badala ya kuandika barua kwa mkono wao wametype ao nao wanaliwa vichwa
Tarehe rasmi ya kutoa majibu haijulikani mpaka sasa,so kama unamishe zako we kufanya
Lonja ya UT✍️👌New updates kutoka kwa wahusika

PT hawaku specify Kama Kuna tuna certify vyeti au lah!.New updates kutoka kwa wahusika
1.Wasio kuwa na vyeti vya jkt/jku wanawekwa kando
2.Wale ambao hawajafanya verification ya vyeti mahakamani(hakimu/mwanasheria) pia kando
3.Ambao wamegoma kuambatanisha medical report pamoja na nambari ya NIDA kama walivyoitaji wao,kando
Vitu ambavyo watarushiwa watu vitaulo ni
1.kutoweka passport size
2.kutoweka leaving certificates
Nimeambiwa kunaeatu badala ya kuandika barua kwa mkono wao wametype ao nao wanaliwa vichwa
Tarehe rasmi ya kutoa majibu haijulikani mpaka sasa,so kama unamishe zako we kufanya
Huyo anazungumzia uhamiaji mkuuPT hawaku specify Kama Kuna tuna certify vyeti au lah!.
Hata kwenye vitu vya kuambatanisha hiyo medical form haikuwepo.View attachment 2469459
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuna watu wameomba polisi na cheti cha form six ngoja tuone hawa itakuajeInawezekana Kabisa waombaji wa uhamiaji wapo wengi kuliko PT kwenye hizi ajira Sababu watu wengi wasikuwa na jakata pia walijaribu kuomba me pia nipo nao mtaani nawajua wengine graduates alivyoona uhamiaji wametoa akasema me polisi siombi tena nakomaa na uhamiaji wakinitema basi hii ipo kwa wengi wanapakubali sana UT ,kuna wengine marafiki zangu wanalo jakata sema wanasema mazoez ya UP ni magumu siombi upolisi naomba uhamiaji tu [emoji3578][emoji28][emoji28]
PT hawajasema tu certify pia isitoshe ilikuwa ni online kwaiyo unawewka soft copy ya original siyo karatasi za copy ya cheti always maombi ya online yapo hivyo ila za kupeleka posta hzi kuandika ni vizuri maombi ya mtu iwe serikal au private uka certify vyeti vyako , kingine kwnye majeshi medical form ni muhimu Sana wanasemaga muombaji awe na afya njema iloyothibitishwa na daktari ni vyema ukaweka.PT hawaku specify Kama Kuna tuna certify vyeti au lah!.
Hata kwenye vitu vya kuambatanisha hiyo medical form haikuwepo.View attachment 2469459
Sent using Jamii Forums mobile app
Apo Sababu ya jakata wanaweza toboa ila wa sayansi nadhani watabebeka sanaNa kuna watu wameomba polisi na cheti cha form six ngoja tuone hawa itakuaje
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hiyo medical form sija i attach maana nilipoiona haipo kwenye requirements nikapiga chini.PT hawajasema tu certify pia isitoshe ilikuwa ni online kwaiyo unawewka soft copy ya original siyo karatasi za copy ya cheti always maombi ya online yapo hivyo ila za kupeleka posta hzi kuandika ni vizuri maombi ya mtu iwe serikal au private uka certify vyeti vyako , kingine kwnye majeshi medical form ni muhimu Sana wanasemaga muombaji awe na afya njema iloyothibitishwa na daktari ni vyema ukaweka.
Nikushauri kitu kaka. Toa copy za vyeti vyako( coloured copies) , vicertify then viscan. Siku hizi kuscan ni rahisi tu kwa simu hivyo unakuwa na certified soft copies zako. Kazi yoyote ikitokea unaomba kupitia hivyo. Sio wote wanaosema utume certified copies ila hata kwa online applications zinaweza application yako kuw much more genuine. Nina ushuhuda katika hili.PT hawajasema tu certify pia isitoshe ilikuwa ni online kwaiyo unawewka soft copy ya original siyo karatasi za copy ya cheti always maombi ya online yapo hivyo ila za kupeleka posta hzi kuandika ni vizuri maombi ya mtu iwe serikal au private uka certify vyeti vyako , kingine kwnye majeshi medical form ni muhimu Sana wanasemaga muombaji awe na afya njema iloyothibitishwa na daktari ni vyema ukaweka.
Kwani form 6 nao walikua wanahitajika?Na kuna watu wameomba polisi na cheti cha form six ngoja tuone hawa itakuaje
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wapo watakaokuwepo tu.Kwani form 6 nao walikua wanahitajika?
Vigezo si ilikua ni form4, Certificate, diploma na bachelor?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ku scan kwa simu sikushauri[emoji16].Nikushauri kitu kaka. Toa copy za vyeti vyako( coloured copies) , vicertify then viscan. Siku hizi kuscan ni rahisi tu kwa simu hivyo unakuwa na certified soft copies zako. Kazi yoyote ikitokea unaomba kupitia hivyo. Sio wote wanaosema utume certified copies ila hata kwa online applications zinaweza application yako kuw much more genuine. Nina ushuhuda katika hili.
Hawakuitajika na wala hawakuorodheshwa kabisa watu hawasomagi matangazo siku hizi wanakaririKwani form 6 nao walikua wanahitajika?
Vigezo si ilikua ni form4, Certificate, diploma na bachelor?.
Sent using Jamii Forums mobile app